Uchaguzi 2020 Hatimaye CCM yajifuta rasmi Mtwara na Lindi

Uchaguzi 2020 Hatimaye CCM yajifuta rasmi Mtwara na Lindi

"Tunahitaji Kiongozi Mzalendo,Mchapakazi,Mnyenyekevu na mwenye nia ya dhati ya kuwatumikia Watanzania,KURA KWA MAGUFULI"

#MagufuliNiMafanikio #TumechaguaKazi
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Mtoa mada kaandika kwa ustaarbu tu, sasa ukikataliwa ndio utukane? Nyie CCM mnapenda kutawala na mitusi
Hawa wahuni wa CCM humu mitandaoni wanaharibu Sana image ya Chama Chao. Unaweza ukamsalimia Kwa busara zote, yeye akakutukania hata mama yako. Nadhan wanafikiri Kura zao zitaongezeka kwa kadri wanavyong'aka na kujibu Kwa jazba.

Kimsingi wanachokifanya kinaashiria kuwa wameshapanic mana hali si shwari Kwa kuwa wanaona jinsi mgombea wao alivyotepeta.

Tuyavumilie tu Kabla ya kuachana nayo rasmi tarehe 28/10.
 
Kufuatia kushindwa kwa Serikali ya CCM kushikwa na kigugumizi cha kuwaamuru wanunuzi woote wa korosho kutekeleza utaratibu wa kusafirisha korosho msimu huu wa 2020/2021.

Kabla ya kuingia kwa awamu ya tano madarakani, serikali zilizopita zilikuwa na utaratibu wa kuhakikisha kuwa korosho inayozalishwa mkoa wa Mtwara na Lindi zinasafirishwa nje kwa kupitia bandari ya Mtwara.

Hii iliwasaidia wakazi wa Mtwara hasa wachukuzi, kina mama nitilie, wenye ma hotel, Guest house, ma baa, maduka, bodaboda, tax, wenye maghala, wenye majumba kujipatia kipato kutokana na kuwapangisha wanunuzi bidhaa zao.

Leo hii Serikali ya CCM inawaacha wana mtwara na njaaa huku wakiona mazao yao yakipita kwenda bandari ya Dsm.

Wana Mtwara na Lindi hiki ni kipindi chetu kuionyesha CCM kuwa wamechoshea na maonevu ya CCM kwa kuikataa kwenye uchaguzi wa mwaka huu.
Huu ni upotoshaji
Mna kazi ya kukaa kuzungumza hovyo tu na kwa taarifa yenu China hashindi uchaguzi zaidi atashinda njaa tu
 
"Tunahitaji Kiongozi Mzalendo,Mchapakazi,Mnyenyekevu na mwenye nia ya dhati ya kuwatumikia Watanzania,KURA KWA MAGUFULI"

#MagufuliNiMafanikio #TumechaguaKazi
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
"Tunahitaji Kiongozi Mzalendo,Mchapakazi,Mnyenyekevu na mwenye nia ya dhati ya kuwatumikia Watanzania,KURA KWA MAGUFULI"

#MagufuliNiMafanikio #TumechaguaKazi
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
KWA MAENDELEO YA KWELI
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#Magufuli5Tena

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Wafuasi wa chama cha mbowe naona mnatumia nguvu nyingi mno ila katafutebi tu kwalulala mana tafiti zibaonyesha
Lindi na Mtwara Tmtunakubalika na asilimia za ushindi ni 80%. Hizo nyingine mgawane nyie vyama vya vicoba.

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
KWA MAENDELEO YA KWELI
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#Magufuli5Tena

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
#ChaguaMagufuli
Kuchagua Magufuli ni kuchagua ufukara tena kuchagua kuzulumiwa na TRA kuchagua Mauaji kuchagua kuzibwa midomo kuchagua kudanganywa kuchagua Wizi wa hela za Vitambulisho.
 
Muulize Magufuli ana wake wangapi mbona anamlilia Gwajima
20201017_190832.jpg
baby L akiona hivi anaweza kuumia roho maskini

Kwanini shemeji yetu Robert anamtesa ndugu yetu ?
 
Back
Top Bottom