PostGE2025 Hatimaye CHADEMA yaanza kuwapandisha Majukwaani Waathirika wa Mauaji ya Oktoba 29 !!.

PostGE2025 Hatimaye CHADEMA yaanza kuwapandisha Majukwaani Waathirika wa Mauaji ya Oktoba 29 !!.

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
kuacha drama na tabia mbaya sana ya kuomba omba kuchangiwa pesa za kujikimu viongozi wa chadema taifa.

ni muhimu sana wafanye kazi na kujitegemea kuliko kuomba omba šŸ’
Kauli ya mama yenu "....mabakuli siku hizi yanarudi tupu"
Kumbuka pia mlitembeza bakuli wakati wa uchaguzi. Kama haitoshi huwa mnatembeza sana bakuli tena kwa shinikizo, ila hii ni kwa free will ya wananchi.

Tulieni tuchange, ni pesa zetu.
 
ili kuatract public sympathy au kutafuta kiki za kijinga?šŸ’

Doh kaka utasabisha utekwe kwa kauli zako, coz hata waziri mkuu kwenye mikutano yake anafanya hivyo hivyo
 
Nashauri na zile familia ambazo zitaonekana ni duni sana basi chama kione namna ya kuzipa chochote kitu kama faraja, pia wasisahau kuhubiri very negative kuhusu hizo tume za mchongo zilizoundwa na muuaji!!.
Yes. Watu waliohathilika wajitokeze kwa wingi sana kueleza hadharani wasiogope. Lazima tuwaaibishe hawa wajinga na tume zao fake
 
Safi sana, nadhani Samia atakimbia this time
Mamamamayo we! Amkimbie shoga gani hapo chadema?!!!! Hakukimbia katika vurugu zenu na mauaji mlizoziandaa okt 29 kwa ufadhili wenu na kitima & co. ndo awakimbie Sasa nyie matahira?!!!!! Pandisheni na manusura wa uhalifu mliowatuma basi
 
Kesho tunaanza kutembelea familia za wafiwa
Msiwapige tone tone tu huko. Pia, ushauri wangu, kama msamaria mwema, msisahau kuwatembelea na wale vijana wenu wa kule Kenya waliokuja kuonja asali kwa ncha ya kisu. Kawatieni moyo kuwa waje tena maana wanasema hawana hamu na Tz na wamekoma kuifahamu🤣🤣🤣

Watieni moyo waje tena maana nasikia mnajiandaa kwenda kumtoa tena ikulu kama okt 29
 
Kesho tunaanza kutembelea familia za wafiwa
Katika hilo' iwe ni njia ya uhakika wa kuwa na kumbukumbu sahihi ya wahanga wote wa tukio hilo mahala pamoja, na kumwonyesha Chande upuuzi walioufanya.

Hili ni swala muhimu sana na lifanyike kwa umakini mkubwa.
 
Mamamamayo we! Amkimbie shoga gani hapo chadema?!!!! Hakukimbia katika vurugu zenu na mauaji mlizoziandaa okt 29 kwa ufadhili wenu na kitima & co. ndo awakimbie Sasa nyie matahira?!!!!! Pandisheni na manusura wa uhalifu mliowatuma basi
Mkuu Umepaniki ,mama yenu,the serial killer hatoboi
 
Sasa Mwana JF ,tusaidiane kusambaza Video kama Hizi kwenye Mitandao ya kijamii Mbalimbaliii

View: https://youtu.be/W70vVrOQhFw?is=pL1TLi3gTeXz1ZpV

Sasa lengo la Chadema kufanya hivi ni nini hasa? Kwa sababu tayari tume ilifanya uchunguzi na imetoa ripoti kabisa kwamba watu waliuwawa.

Baada ya hapo si ndio Tume jinai imeundwa Ili kuwawajibisha wahusika au?

Maana waliofariki sio tuu wanachadema na wasio na Vyama ,Sasa mnapowapandisha jukwaani wanachama wenu lengo lenu ni lipi hasa? Mkizuiwa mikutano ntakuja kulaumu tena au?

Kwenye taaluma ya usuluhishi /maridhiano usipokubali kupoteza kiasi hutofikia matarajio.
 
Ebu sema kuna kosa amelitenda? Je umesoma rupoti au umesomewa tu? Kama umesomewa unayo uhakika kuwa kilichosomewa ndicho kilichoandikwa kwenye ripoti?
Kama ripoti inayo nia nzuri kwanini inawekwa kuwa mali ya mtu na siyo mali ya nchi?

Kuna wakati tusipende kutetea vitu visivyo na uhalisia katika jamii. Nchi is ipo isipotaka taarifa flani kisitolewe kwenye public basi hakitakiwi kusomwa popote.
 
Kumezidi kuchachuka..ila hii MOVE ni sawa tu, ilikuimbua tume ya "mchongo" ya Jaji Chande
 
Back
Top Bottom