Kauli ya mama yenu "....mabakuli siku hizi yanarudi tupu"kuacha drama na tabia mbaya sana ya kuomba omba kuchangiwa pesa za kujikimu viongozi wa chadema taifa.
ni muhimu sana wafanye kazi na kujitegemea kuliko kuomba omba 🐒
Safi sana.Kesho tunaanza kutembelea familia za wafiwa
ili kuatract public sympathy au kutafuta kiki za kijinga?🐒
Mpaka nakuonea wivu kwa mchongo huuSasa Mwana JF ,tusaidiane kusambaza Video kama Hizi kwenye Mitandao ya kijamii Mbalimbaliii
View: https://youtu.be/W70vVrOQhFw?is=pL1TLi3gTeXz1ZpV
Public awareness, the truth must be revealed.ili kuatract public sympathy au kutafuta kiki za kijinga?🐒
Yes. Watu waliohathilika wajitokeze kwa wingi sana kueleza hadharani wasiogope. Lazima tuwaaibishe hawa wajinga na tume zao fakeNashauri na zile familia ambazo zitaonekana ni duni sana basi chama kione namna ya kuzipa chochote kitu kama faraja, pia wasisahau kuhubiri very negative kuhusu hizo tume za mchongo zilizoundwa na muuaji!!.
Mamamamayo we! Amkimbie shoga gani hapo chadema?!!!! Hakukimbia katika vurugu zenu na mauaji mlizoziandaa okt 29 kwa ufadhili wenu na kitima & co. ndo awakimbie Sasa nyie matahira?!!!!! Pandisheni na manusura wa uhalifu mliowatuma basiSafi sana, nadhani Samia atakimbia this time
Msiwapige tone tone tu huko. Pia, ushauri wangu, kama msamaria mwema, msisahau kuwatembelea na wale vijana wenu wa kule Kenya waliokuja kuonja asali kwa ncha ya kisu. Kawatieni moyo kuwa waje tena maana wanasema hawana hamu na Tz na wamekoma kuifahamu🤣🤣🤣Kesho tunaanza kutembelea familia za wafiwa
Katika hilo' iwe ni njia ya uhakika wa kuwa na kumbukumbu sahihi ya wahanga wote wa tukio hilo mahala pamoja, na kumwonyesha Chande upuuzi walioufanya.Kesho tunaanza kutembelea familia za wafiwa
Mkuu Umepaniki ,mama yenu,the serial killer hatoboiMamamamayo we! Amkimbie shoga gani hapo chadema?!!!! Hakukimbia katika vurugu zenu na mauaji mlizoziandaa okt 29 kwa ufadhili wenu na kitima & co. ndo awakimbie Sasa nyie matahira?!!!!! Pandisheni na manusura wa uhalifu mliowatuma basi
Niwaombe CHADEMA acheni kutumia nyimbo za kikristo kwenye majukwaa maana mnatufanya tuhisi huenda ni Chama cha kiitikadi za kikristoSasa Mwana JF ,tusaidiane kusambaza Video kama Hizi kwenye Mitandao ya kijamii Mbalimbaliii
View: https://youtu.be/W70vVrOQhFw?is=pL1TLi3gTeXz1ZpV
Mumeo kazi anayoili kuatract public sympathy au kutafuta kiki za kijinga?🐒
Sasa lengo la Chadema kufanya hivi ni nini hasa? Kwa sababu tayari tume ilifanya uchunguzi na imetoa ripoti kabisa kwamba watu waliuwawa.Sasa Mwana JF ,tusaidiane kusambaza Video kama Hizi kwenye Mitandao ya kijamii Mbalimbaliii
View: https://youtu.be/W70vVrOQhFw?is=pL1TLi3gTeXz1ZpV
Ebu sema kuna kosa amelitenda? Je umesoma rupoti au umesomewa tu? Kama umesomewa unayo uhakika kuwa kilichosomewa ndicho kilichoandikwa kwenye ripoti?Sasa lengo la Chadema kufanya hivi ni nini hasa? Kwa sababu tayari tume ilifanya uchunguzi na imetoa ripoti kabisa kwamba watu waliuwawa.
Baada ya hapo si ndio Tume jinai imeundwa Ili kuwawajibisha wahusika au?
Maana waliofariki sio tuu wanachadema na wasio na Vyama ,Sasa mnapowapandisha jukwaani wanachama wenu lengo lenu ni lipi hasa? Mkizuiwa mikutano ntakuja kulaumu tena au?
Kwenye taaluma ya usuluhishi /maridhiano usipokubali kupoteza kiasi hutofikia matarajio.