Tetesi: Hatimaye "Chato International Airport" kuzinduliwa rasmi mwezi Aprili

Hoja dhaifu huletwa na watu dhaifu!! Tunataka sababu za kiuchumi katika ujenzi was uwanja was chato sio utuletee ngonjera za kwene kanga hapa!

Kwani hujui kama kuna Lubondo national park, hujui kama kuna dhahabu hapa geita au unajitoa tu akili
 

Kwakuwa monduli ipo tanzania wala nisingemind hata kidogo,
 
***
NOMA SIJUI ...
 
"wasomi wabobezi wanapita hapa wanacheka sana..." lakini ndilo chaguo..
 
Chato ni Mji unao kua sana ndio maana umejengwa uwanja wa maana, pia Migodi ya Geita watumishi wake watatumia huu uwanja, Ya kaisali mpe kaisali na ya Mungu mpe mungu
Wadanganye wajinga Mimi nimekuwa nikienda Chato mara nyingi toka katikati ya miaka ya tisini hadi mwaka huu nimefika tena. Ngoja nikupe details kidogo halafu nipinge,, zamani tulikuwa tunafikia Guest ya DINGI pale Makufuli, baadaye tukahamia Marine A lodge, chafu chafu hivi, au Ludomya Lodge then ikaja Marine B ambayo at least unaweza kuilinganisha na baadhi ya lodge pale Buselesele, ingawa nayo huwezi kuilinganisha na lodge za Muleba au Biharamulo na hata Ushirombo. Mji wa Masumbwe pale Mbogwe unakuwa kwa haraka kuliko Chato

Pale juu ghorofani alijengewe mkuu wa Wilaya kuishi kaogopa kukaa na nyani ikabadilika gia kuwa ofisi ya Takukuru, Nyumba za NHC hazina wapangaji ila pale kwa Mheshimiwa kwa nyuma kuna apartment za bei poa watu wamezikimbilia. Kwa kifupi Chato kwa sisi tuliotembea Tanzania nzima tunaojua kuwa mji wa Makambako umejengeka sawa Geita mjini tunaona kabisa Chato ilistahili uwanja wa ndege kwa ajili ya raisi ila ule wa kiwango kama wa Bukoba kwa ajili ya raisi na wageni wake na hata commercial flight ya abiria 50 ambayo labda inaweza kuwa na safari moja kwa wiki au kwa mwezi. Lakini haujazi abiria 150 kwenye ndege kwenda Chato, never ever
 
Ndio maana nimesema hoja dhaifu huletwa na watu dhaifu pia,,,geita kuna uwanja unamilikiwa na mgod, na ndege hutoka pale moja kwa moja bila kupitia sehemu yoyote tena bila kukaguliwa, mwanza kuna uwanja mbao unahitaji kuboreshwa na kutoka mwanza hadi chato sio mbali, mkoa Jiran na hapo chato ie kagera kuna uwanja, kigoma kuna uwanja !! Kwa nn tusipeleke nguvu kuboresha vilivyopo kwanza kama kuna nia ya dhat?
Songwe kuna migod mipya lakin ile songwe international airpot had Leo haijakamilika!?? Kuwa mkweli mkuu , otherwise u aongo,was na political wing!!
 
 
Mkuu umeongea point nzuri na yenye manufaa kwa taifa iwapo ikifanyiwa kazi
 
Tulia dawa ikuingie wewe!!! Any way kanani kanani makali yasitutoe kwenye hoja!!

Heshima kwako ndugu yangu hata kwa kuchukua muda wako kuchangia mada na kutoa changamoto....binafsi najushukuru nyerere hana hatia hapa naomba atendewe haki
Umeona hapo ametajwa Nyerere? We wa wapi wewe?
 

Kumbe unakujaga kutembea! Mimi naishi hapa hapa mkubwa, hayo ni mambo ya forecasting. Na utaumia sana tu soon as posible unakuwa Mkoa wa Lubondo, mwaka huu mtaonge sana
 
Na hili jukwaa ndilo Serikali haitaki ilione maana linafichua maovu yao.
 
Mheshimiwa wakati wanaopiga kelele kwenye mitandao watakaponyamaza jenga barabara ya mabasi yaendayo kasi kati ya Chato na Geita.

Achana nao, hivi wanadhani wewe ni Nyerere aliyekataa asiwekewe barabara ya lami iendayo nyumbani kwake lakini ikawekwa wakati amefariki?
 
Umeona hapo ametajwa Nyerere? We wa wapi wewe?
Any way nyenyere ni weye unayejitia kujua kila kitu!!!! Ubungo uko ila ufahamu ndio ziro kwa sababu mpaka anajenga pale hujui kuna mipanho gani mpe muda amalize...na hamwezi jua uwanja unao jengwa uko na ukubwa gani maana hamna taarifa rasimi...
 

Ikiwezekana hata uwanja wa mpira wa kisasa pale kwa Mazaina
 
Kumbe unakujaga kutembea! Mimi naishi hapa hapa mkubwa, hayo ni mambo ya forecasting. Na utaumia sana tu soon as posible unakuwa Mkoa wa Lubondo, mwaka huu mtaonge sana
Baelezeee maana wao wanataja majiji yajengwe kwao kwa wengine ndo wanataka sijui principle za uchumi zifuatwe...stupid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…