Hatimaye chombo cha Habari kimetufikia Kinyerezi ona dawasa Kinyerezi wanavyodanganya waheshimiwa. Aibuuuuuu

amarina

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2025
Posts
230
Reaction score
403
KERO hii Ina mwaka mzima.

Wananch hapa wamechoka lakini watoa huduma wanaleta uwongo kwamba huduma imerejea.

Hata choo cha Kinyerezi stendi hakina maji huko nje ya mji kutakuwa na matope
 
Tusaidieni kisambaza Habari hii
KERO hii Ina mwaka mzima.

View attachment 3435309

Nilikia mnatick huko na mbunge wenu Bona
 
Nikikumbuka trillion 20 imetumika kujenga srg Dar to Dodoma wakati wananchi hawana maji safi na ya Choo naamini kweli mtu mweusi kalaaniwa.
 
Back
Top Bottom