Lisaa limoja baada ya Klabu ya Manchester United ya Uingereza kutangaza kuvunja mkataba na CR7, mwanasoka huyu amekuwa maarufu maradufu. Hivi Sasa amefikisha wafuasi million 501 katika ukurasa wake wa kijamii wa Instagram.
Itakumbukwa ukurasa wa Klabu ya mpira ya Manchester ulipata wafuasi wengi mara baada ya kutangaza kumsajili Cr7 na kufikisha wafuasi million 61. Hivi Sasa kuna kampeni kubwa sana ya wafuasi hao kutaka kujitoa kwenye kurasa za kilabu hicho.
Ni wazi Cristiano Ronaldo anatengeneza pesa nyingi sana kupitia matangazo yanayowekwa kwenye kurasa zake, lakini inasemekana uwezo wake wa uchezaji umeshuka kwa sasa.
Je, unafikiri ni kwa sababu gani uwezo wa uchezaji wa Cr7 umepungua? Je, umri unaweza kuwa kisababishi?
Toa maoni yako hapo chini kistaarabu.
Karibu katari na tibisii.