Hatimaye Christiano Ronaldo afikisha wafuasi million 501 katika ukurasa wake wa Instagram

Hatimaye Christiano Ronaldo afikisha wafuasi million 501 katika ukurasa wake wa Instagram

Sasa saivi tumeacha kumjadili kama mchezaji tumeanza kumjadili kama model wa insta.

Mwenzake Messi baso tunamjadili kama mchezaji
 
Kuna taarifa zinasema anarudi real Madrid, ni kweli?!!!
 
Kuna taarifa zinasema anarudi real Madrid, ni kweli?!!!


Real Madrid inajengwa timu ya kikosi cha vijana wadogo. Sasa hivi wanasaini talented kids of 15 and 16 years old from Brazil wanasubiriwa wafikishe miaka 18 waletwe Ulaya. Watu kama Toni Kroos, Luca Modric na Karim Benzema tayari wana plan za ku retire, sasa wamlete Cristiano atacheza wapi?
 
Sasa saivi tumeacha kumjadili kama mchezaji tumeanza kumjadili kama model wa insta.

Mwenzake Messi baso tunamjadili kama mchezaji
Vitu alivyofanya hyu jamaa ni vkubwa Sana..yoyote mwenye kumbeza hakika hakubaliani na karama ambazo Mungu huwapa watu wake...

Tumshukur Mungu kwa kumleta CR 7...ni moja ya species special chini ya jua....
 
Kuna wakati kwenye press interview fulani jamaa aliletewa maji na soda ya Coke akachagua maji akaisukuma soda pembeni.

Unaambiwa baada ya hapo kampuni ya soda Coke ilikadiria hasara kubwa Sana ma' ke bidhaa yao ilisusiwa( boycotted) na wafuasi wengi wa CR7
 
T
Team messi mna wivu
Muda utasema....huyu labda aende simba ila ulaya hakuna timu kubwa ya kumchukua.
Labda aende China au uarabuni
Au Newcastle

Kama akichukuliwa timu kubwa labda wafanye kwa ajili ya kuuza jezi na benchi ataenda kupigwa kama kawa, itakuwa anaruka mkojo anatua kwenye kimba
 
Mkuu bado unaamini kuwa freemasonry wanakupa utajiri?
Mkuu, iko hivi. Asilimia 100%,mafanikio au kutokufanikiwa kwa mtu msingi wake ni ulimwengu wa Roho. So ukiona mtu kafanikiwa ujue kuna ulimwengu wa Roho (Mungu au miungu) imemsaidia regardless your hustle, hard-working or your PhD.
 
Katika hao wafuasi wake milioni 501 kwa siku hua wanakufa wafuasi wake wangapi Approximately?

Haiwezekani eti hiyo idadi iwe ni accurate figure kwa kila siku.
 
Back
Top Bottom