hatimaye chuo kikuu kipya kimeingia kazini

hatimaye chuo kikuu kipya kimeingia kazini

AfricaUnited

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2010
Posts
2,367
Reaction score
1,293
Degrees and Diplomas ....chuo kikuu cha bukoba sasa kipo tayari kupokea watu katika kada tofauti tofauti.chuo hicho ambacho kimeweka kozi za kutosha kukabiliana na uhaba wa vyuo ukitofautisha na shule za sekondary na wanafunzi wenye uhitaj wa kusoma elimu ya juu....wadau ni mda sasa kubadili mazingira kwenda kusoma mkoa wa wahaya
 

.
Hivi BUKOBA ni mjini mjini ? Au?
.
Kwa aliye serious naomba anieleze

 
Degrees and Diplomas ....chuo kikuu cha bukoba sasa kipo tayari kupokea watu katika kada tofauti tofauti.chuo hicho ambacho kimeweka kozi za kutosha kukabiliana na uhaba wa vyuo ukitofautisha na shule za sekondary na wanafunzi wenye uhitaj wa kusoma elimu ya juu....wadau ni mda sasa kubadili mazingira kwenda kusoma mkoa wa wahaya

mkuu chuo gani hikoo...!

bukoba ndo nyumbani huko (origin)
 
mkuu chuo gani hikoo...!

bukoba ndo nyumbani huko (origin)
mkuu kumbe kilianza tangu mda sema kilikuwa hakijasajiliwa now ndio naona wanakitangaza


[h=1]Topic: University of Bukoba ya nani??[/h]




Results 1 to 6 of 6



  • [h=6]LinkBack[/h]
  • [h=6]Topic Tools[/h]
  • [h=6]Search Topic[/h]
  • [h=6]Rate This Topic[/h]


  • user-offline.png
    Josh Michael

    13th September 2009 19:36
    #1
    JF Senior Expert MemberArray


    Join Date : 12th June 2009
    Location : Kibandani
    Posts : 2,539
    Rep Power : 1057
    Likes Received53
    Likes Given365


    [h=2]
    icon1.png
    University of Bukoba ya nani??[/h]
    Katika pitapita yanhu leo nimeona baadhi ya taarifa ya chuo kikuu cha Bukoba ambacho kipo Mkoani Bukoba, Ila la Kushangaza ukienda kwenye tume ya vyuo vikuu Tanzania hakuna Chuo Kama hicho wala usajiri wake?? Labda kama kuna mdau anajua kwa undani aseme au aje na data hapa JF, na Tena kwa kushangaza hawa jamaa wanafundisha mpaka Computer science, BA in Education and kozi nyingine, Kuna Ujio wa Vyuo vingi hapa Tanzania lakini vyote vipi chini ya TCU lakini Chuo Cha Bukoba sijakiona kabisa.
    Naombeni Majibu​





    Send PM



  • user-offline.png
    Bluray

    13th September 2009 22:33
    #2
    JF Senior Expert MemberArray


    Join Date : 25th March 2008
    Posts : 3,449
    Rep Power : 1315
    Likes Received29
    Likes Given0


    [h=2]
    icon1.png
    Re: University of Bukoba ya nani??[/h]
    First of all, for the record, Bukoba ni mji, si mkoa.Mkoa ni Kagera.

    A few red flags.

    The "University" has a tripod web page. The University of Bukoba
    No respectable university should publish itself officially on tripod/ geocities on any suchlike pages.

    There are any more.But go thru the page and find out.​


    You like this.

    The Singularity is Near.

    Send PM

  • user-offline.png
    Josh Michael

    14th September 2009 11:58
    #3
    JF Senior Expert MemberArray


    Join Date : 12th June 2009
    Location : Kibandani
    Posts : 2,539
    Rep Power : 1057
    Likes Received53
    Likes Given365


    [h=2]
    icon1.png
    Re: University of Bukoba ya nani??[/h]
    Sasa hawa jamaa wanatoa Elimu kwa Ruhusa ya nani?? Kama Dataz zao haziko kwenye Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania, tena watu kama Professor Banyikwa naye yupo huko kwenye Bodi yake​



    Those who are too smart to engage in politics are punished by being governed by those who are dumber. ~Plato😀

    Send PM

  • user-offline.png
    Baba_Enock

    14th September 2009 12:06
    #4
    JF Senior Expert MemberArray


    Join Date : 21st August 2008
    Location : Bunju "B"
    Posts : 6,118
    Rep Power : 2003
    Likes Received1364
    Likes Given1350


    [h=2]
    icon1.png
    Re: University of Bukoba ya nani??[/h]
    Chuo Kikuu cha Bukoba - hakijwahi kuanza kutoa mafunzo wakati wowote ule! bado kipo kwenye makabrasha!​




    "
    Msidanganyike; Mazungumzo mabaya huharibu tabia njema. "

    Send PM

  • user-offline.png
    Sinkala

    14th September 2009 12:10
    #5
    JF Senior Expert MemberArray


    Join Date : 22nd December 2008
    Location : Your office's next door
    Posts : 1,442
    Rep Power : 863
    Likes Received215
    Likes Given65


    [h=2]
    icon1.png
    Re: University of Bukoba ya nani??[/h]

    quote_icon.png
    By Josh Michael
    ... ambacho kipo Mkoani Bukoba, ...



    Hivi hapa Tz kuna mkoa unaoitwa Bukoba ?



    Annuntio vobis gaudium magnum; habemus Papam: Eminentissimum ac Reverendissimum Dominum, Dominum Georgium Marium Sanctae Romanae Ecclesiae Cardinalem Bergoglio qui
 
Kuna Mkoa wa Kagera na sio Bukoba!
Nikama kujichanganya tu kwa hao.......
 

.
Hivi BUKOBA ni mjini mjini ? Au?
.
Kwa aliye serious naomba anieleze


Wewe unataka kusoma mjini mjini sio mwambie baba ako akupeleke OXFORD au CAPETOWN UNIVERSITY ni mjini haswaa wala sio hiyo mjini mjini unayotaka wewe nyambafu.
 
Wewe unataka kusoma mjini mjini sio mwambie baba ako akupeleke OXFORD au CAPETOWN UNIVERSITY ni mjini haswaa wala sio hiyo mjini mjini unayotaka wewe nyambafu.

.
Blue = Thanks mkuu
.
BTW
Whats happen mkuu you give me a foolish answer! In return
Whats the hell on you'r --- ---? Na
.
Seek for a psycological doctor may be you've a problem in your ----- Na!
.
 
Back
Top Bottom