AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,367
- 1,293
Degrees and Diplomas ....chuo kikuu cha bukoba sasa kipo tayari kupokea watu katika kada tofauti tofauti.chuo hicho ambacho kimeweka kozi za kutosha kukabiliana na uhaba wa vyuo ukitofautisha na shule za sekondary na wanafunzi wenye uhitaj wa kusoma elimu ya juu....wadau ni mda sasa kubadili mazingira kwenda kusoma mkoa wa wahaya
mkuu kumbe kilianza tangu mda sema kilikuwa hakijasajiliwa now ndio naona wanakitangazamkuu chuo gani hikoo...!
bukoba ndo nyumbani huko (origin)
.
Hivi BUKOBA ni mjini mjini ? Au?
.
Kwa aliye serious naomba anieleze
Wewe unataka kusoma mjini mjini sio mwambie baba ako akupeleke OXFORD au CAPETOWN UNIVERSITY ni mjini haswaa wala sio hiyo mjini mjini unayotaka wewe nyambafu.