Hatimaye Comedian Masanja Mkandamizaji auaga ukapera

Hatimaye Comedian Masanja Mkandamizaji auaga ukapera

pumzihaiuzwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2015
Posts
3,273
Reaction score
3,083
Nguli wa vichekesho kupitia luninga nchini, Masanja Mkandamizaji hatimae kapata jiko.

Nakupongeza sana kijana umeonyesha mfano mkubwa kwa sababu wanasanaa wengi hili jambo kwao ni ndoto kubwa.

Hongera kwa hatua nzuri Mungu abariki ndoa yako.

1471192327026.jpg
1471192374296.jpg

Kitisho cha kuchapiwa kinamnyemelea (sio kwa sababu ya uzuri wa my wife wake)
 
Chama cha mabachela....kinamtakia kila la kheri kwenye maisha yake mapya.........
Ila mkuu siku hizi mtu kuihama hii taasisi ujitoe ufahamu kweli kweli...maana vijana wakija humu wakilalamika ooh mke wangu simuelewi,mara nanyimwa penzi mwengine utasikia nimemfumania mke wangu na stuff mwenzake alimrad ndoa zimekuwa vurugu.
 
Yaani mimi kila likija wazo la kuoa....moyo unakufa ganzi.....mpaka nazeeka sasa.....
 
Back
Top Bottom