Hatimaye Comedian Masanja Mkandamizaji auaga ukapera

Hatimaye Comedian Masanja Mkandamizaji auaga ukapera

Tuna mkaribisha sana kwenye chama cha kulala wazi.
 
Daa kuoaaa!! Mapigo ya moyo yanaenda mbio nikiwaza kutaka kufanya jambo hili
 
Mke anapiga sala balaa wataanzia wapi. Full kupreach km manabii wenu huko daslam
hofu ya kufumaniwa then kuachwa.
ni moja ya sababu kuu watunawake kutochepuka(kwa wasiochepuka)
 
Usioe mkuu, hakuna umuhimu wa kuoa sikuhizi.
nani kasema
tunamtakia kila lenye kheri sie bado tupo tupo sana
haaaaa!!
Hapana mzee mwenzangu halikwepeki hilo funga nafsi wanawake wetu ndio hawa hawa sio wa kutoka Jupiter wala Mars
wape ushauri kwa kweli
Mkuu mimi nimeshaamua kuishi maisha ya kiseja.....ni mazuri ajabu.......muda mwingi nautumia kusoma vitabu kujiongezea maarifa.....
na uoe uongeze maarifa
 
Back
Top Bottom