pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,273
- 3,083
Kumbe alikuwa mzinziwalipendeza....
nakumbuka aliwaomba samahani ma ex wake wote
haaaa uzinzi tena,,,,,Kumbe alikuwa mzinzi
Ila mkuu siku hizi mtu kuihama hii taasisi ujitoe ufahamu kweli kweli...maana vijana wakija humu wakilalamika ooh mke wangu simuelewi,mara nanyimwa penzi mwengine utasikia nimemfumania mke wangu na stuff mwenzake alimrad ndoa zimekuwa vurugu.Chama cha mabachela....kinamtakia kila la kheri kwenye maisha yake mapya.........
Hahahaa unatunza kumbukumbu wewe...ila hapo mwishoni nimepasoma kwa sauti kubwa bila kujua nipo na dada zangu hapa la haulahaaaa uzinzi tena,,,,,
kuna siku instagram wali mblast babamchungaji kufollow page ya mashoga wanapost video za kutiana hatari..
Ila mkuu siku hizi mtu kuihama hii taasisi ujitoe ufahamu kweli kweli...maana vijana wakija humu wakilalamika ooh mke wangu simuelewi,mara nanyimwa penzi mwengine utasikia nimemfumania mke wangu na stuff mwenzake alimrad ndoa zimekuwa vurugu.
Hahahaa mkuu kwanini weka waziYaani mimi kila likija wazo la kuoa....moyo unakufa ganzi.....mpaka nazeeka sasa.....
Hahahaa mkuu kwanini weka wazi