Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
sipatii picha reaction ya dada zakoHahahaa unatunza kumbukumbu wewe...ila hapo mwishoni nimepasoma kwa sauti kubwa bila kujua nipo na dada zangu hapa la haula
Dah mchungaji anajilia kondoo tobahaaaa uzinzi tena,,,,,
kuna siku instagram wali mblast babamchungaji kufollow page ya mashoga wanapost video za kutiana hatari..
Daah jamaa katisha alikua serious au kikaziwalipendeza....
nakumbuka aliwaomba samahani ma ex wake wote
Usioe mkuu, hakuna umuhimu wa kuoa sikuhizi.Yaani mimi kila likija wazo la kuoa....moyo unakufa ganzi.....mpaka nazeeka sasa.....
Sinalisema hajafanya miaka saba kwahio hao maex Ni wa nyuma hukowalipendeza....
nakumbuka aliwaomba samahani ma ex wake wote
Mkuu tangu lini kutiana kukawa ni hatari?haaaa uzinzi tena,,,,,
kuna siku instagram wali mblast babamchungaji kufollow page ya mashoga wanapost video za kutiana hatari..
Hapana mzee mwenzangu halikwepeki hilo funga nafsi wanawake wetu ndio hawa hawa sio wa kutoka Jupiter wala MarsYaani mimi kila likija wazo la kuoa....moyo unakufa ganzi.....mpaka nazeeka sasa.....
Hapana mzee mwenzangu halikwepeki hilo funga nafsi wanawake wetu ndio hawa hawa sio wa kutoka Jupiter wala Mars
Kutianahaaaa uzinzi tena,,,,,
kuna siku instagram wali mblast babamchungaji kufollow page ya mashoga wanapost video za kutiana hatari..
Mwanaume kabisa ,rijali anakula samaki ,anakunywa maziwa , anafanya mazoezi ,mihogo,ugali ,viazi vitamu ,asali ,Tangawizi ,karanga nk akae miaka 7 hajafanya mambo na wewe ukasidiki ??Sinalisema hajafanya miaka saba kwahio hao maex Ni wa nyuma huko
Bado unaishi nyumbani?Hahahaa unatunza kumbukumbu wewe...ila hapo mwishoni nimepasoma kwa sauti kubwa bila kujua nipo na dada zangu hapa la haula
hatari ya pale haikumaanisha hivyoMkuu tangu lini kutiana kukawa ni hatari?
Siezi labda alikua anampenzi sabuniMwanaume kabisa ,rijali anakula samaki ,anakunywa maziwa , anafanya mazoezi ,mihogo,ugali ,viazi vitamu ,asali ,Tangawizi ,karanga nk akae miaka 7 hajafanya mambo na wewe ukasidiki ??
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] mpenzi sabuni ,haya banaSiezi labda alikua anampenzi sabuni