Got you well mkuu, ulisomeka vzr sana.hatari ya pale haikumaanisha hivyo
baba mchungaji Muongo.... miaka saba mchezoSinalisema hajafanya miaka saba kwahio hao maex Ni wa nyuma huko
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Manido ya bi harusi yameslipu,napita tu
Nini mbaya?Daa kuoaaa!! Mapigo ya moyo yanaenda mbio nikiwaza kutaka kufanya jambo hili
Kitisho cha kuchapiwa kinamnyemelea (sio kwa sababu ya uzuri wa my wife wake)
Manido ya bi harusi yameslipu,napita tu
hofu ya kufumaniwa then kuachwa.Mke anapiga sala balaa wataanzia wapi. Full kupreach km manabii wenu huko daslam
ntajie io page nthibtshe tafadhal.haaaa uzinzi tena,,,,,
kuna siku instagram wali mblast babamchungaji kufollow page ya mashoga wanapost video za kutiana hatari..
senior bachelorBado kaka AMBWENE YESAYA, huyu ndugu yangu namsubiria sana.
nani kasemaUsioe mkuu, hakuna umuhimu wa kuoa sikuhizi.
haaaaa!!tunamtakia kila lenye kheri sie bado tupo tupo sana
wape ushauri kwa kweliHapana mzee mwenzangu halikwepeki hilo funga nafsi wanawake wetu ndio hawa hawa sio wa kutoka Jupiter wala Mars
na uoe uongeze maarifaMkuu mimi nimeshaamua kuishi maisha ya kiseja.....ni mazuri ajabu.......muda mwingi nautumia kusoma vitabu kujiongezea maarifa.....
nani kasema
haaaaa!!
wape ushauri kwa kweli
na uoe uongeze maarifa
Sala inazidiwa na vichocheo!!!!!!Mke anapiga sala balaa wataanzia wapi. Full kupreach km manabii wenu huko daslam
We nilikuwa natamani use rafiki yangu kweli twafananaYaani mimi kila likija wazo la kuoa....moyo unakufa ganzi.....mpaka nazeeka sasa.....
We nilikuwa natamani use rafiki yangu kweli twafanana
na maarifa pia!Niongeze maarifa au niongeze mahangaiko.....!!???
na maarifa pia!
ya kumuelewa binadamu mwenzio kwa undani.Maarifa gani.....!!!???
ya kumuelewa binadamu mwenzio kwa undani.