Be honest at least to your self. Weka na ile sababu unayoijua peke yako ya kutooa. Maana ni muda sasa unajaribu kuji convince kwanini huwezi kuoa.Na kila siku namuomba Mungu aniepushie jambo hilo....kama anavyoniepusha na mabalaa mengine....AMEN.....
hahaaa!eti akuepushe na balaa hilo!
ndoa sio balaa no Neema
Be honest at least to your self. Weka na ile sababu unayoijua peke yako ya kutooa. Maana ni muda sasa unajaribu kuji convince kwanini huwezi kuoa.
Napinga sana tu usemayo wapo waaminifu kila siku!!Neema ipi inayopatikana kwenye ndoa za nyakati hizi......
Ndoa zenye neema ziliisha nyakati hizo ambapo wanawake walikuwa wanampenda mwanaume kwa jinsi alivyo na sio kwa kilichopo mfukoni mwake.......
Punda anapendwa kwa umahiri wake wa kubeba mizigo.....
Napinga sana tu usemayo wapo waaminifu kila siku!!
Ila were kwa sababu una negative attitude huwezi waona waaminifu na wenye mapenzi ya kweli
Dada yangu endelea kumsisitiza huyu mzee mwenzangu ni kweli matatizo yapo ila sio wote sala na dua vinahitajika.somewhere around
humuoni maana hujaweka akili ya kumtafuts
wapo tena wengi!!tu
muambie kijana huyoo
Nadhani bado unayo nafasi ya kuamua tena kwani wakati ni mponyaji mkubwa hakuna mwanamume anae ridhia haya mambo yanatotokea kila kukicha mara picha za utupu wa bibi harusi mara mtu kabambikiwa watoto mara eeh!Mkuu mimi nimeshaamua kuishi maisha ya kiseja.....ni mazuri ajabu.......muda mwingi nautumia kusoma vitabu kujiongezea maarifa.....
kumbe hujaoa? bahati mbaya nipo kwenye mikono ya sponsor ningekuambia unioe uone jinsi nilivo mwelewaNiletee mmoja ambaye wewe unamuona anafaa kwa vipimo vyako....na mimi nitamuoa.....
One in a billion
kumbe hujaoa? bahati mbaya nipo kwenye mikono ya sponsor ningekuambia unioe uone jinsi nilivo mwelewa
UTAINVESTIJE BILA FUNDHongera kwa kupata sponsor.....next time tafuta investor....
Nadhani bado unayo nafasi ya kuamua tena kwani wakati ni mponyaji mkubwa hakuna mwanamume anae ridhia haya mambo yanatotokea kila kukicha mara picha za utupu wa bibi harusi mara mtu kabambikiwa watoto mara eeh!
Lakini haileti khitimisho kuwa tusioe mtu ambae hajakwama ni yule ambae hakujaribu sasa mzee mwenzangu jaribu ukikwama utujuze ninaandika haya kwa nia njema tu.
UTAINVESTIJE BILA FUND
FUND TUNAPATA KWA SPONSORDifferentiate between sponsor and fund.....!??
FUND TUNAPATA KWA SPONSOR
Mmmhhh!!! Aisee!! Mkuu aliyekulisha sumu hizi ni mtu hatar sana .. Ndoa zingekuwa kama unavyofikiria ww mpaka sasa usingeziona mitaani.Ninachojua ni kuwa hakuna zama zilizojaa viumbe wanafiki kama hizi.....ukiona mwanamke anakunyenyekea na kukuheshimu katika zama hizi haupaswi kufurahia mpaka jino la mwisho bali unapaswa kuongeza umakini dhidi yake.....
Hata ng'ombe analishwa vizuri ili atoe maziwa mengi.....mwisho wa ng'ombe kutoa maziwa ndio mwisho wa huduma kutoka kwa mfugaji..........
Hata punda anapendwa kutokana na uwezo wake wa kubeba mizigo......
Mmmhhh!!! Aisee!! Mkuu aliyekulisha sumu hizi ni mtu hatar sana .. Ndoa zingekuwa kama unavyofikiria ww mpaka sasa usingeziona mitaani.
Umeenda mbali sana kifikra lakn kumbe ndoa haziko hvyo
Basi nikutakie kila la kheri katika maisha hayo ya useja wa khiyari tupo pamoja mzee mwenzanguNoted with thank....but its too late
Duh! Kweli ww unatafutakumbe hujaoa? bahati mbaya nipo kwenye mikono ya sponsor ningekuambia unioe uone jinsi nilivo mwelewa