KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Basi nikutakie kila la kheri katika maisha hayo ya useja wa khiyari tupo pamoja mzee mwenzangu
Mkuu wanawake wema wapo ila kwakuwa ww akili yako umeshaitune kwamba hakuna mwanamke mwema ndio maana unakuwa kwenye msimamo huo.Niletee mmoja ambaye wewe unamuona anafaa kwa vipimo vyako....na mimi nitamuoa.....
One in a billion
Sio kweli mm nipo kwenye ndoa na nafurahia kuwepo kwenye ndoaWengi wanavumilia kuwepo kwenye ndoa...lakini hawafurahii kuwepo kwenye ndoa.....
Wachache waliokosa uvumilivu ndio tunasikia wametelekeza familia na wengine wanaburuzana mahakamani kudaiana taraka....
Neema ipi inayopatikana kwenye ndoa za nyakati hizi......
Ndoa zenye neema ziliisha nyakati hizo ambapo wanawake walikuwa wanampenda mwanaume kwa jinsi alivyo na sio kwa kilichopo mfukoni mwake.......
Punda anapendwa kwa umahiri wake wa kubeba mizigo.....
kumbe wapoNiletee mmoja ambaye wewe unamuona anafaa kwa vipimo vyako....na mimi nitamuoa.....
One in a billion
Sijui ndi ndi ndi ndio kitu gani.tayari mindset yako haiamini kwenye ndoa hilo ni tatizo sasa
Sio samahani tu na nyumba amewapa nasikia.walipendeza....
nakumbuka aliwaomba samahani ma ex wake wote
Unaogopa yale mambo ya kikulachochako..hainaga ushemeji.Yaani mimi kila likija wazo la kuoa....moyo unakufa ganzi.....mpaka nazeeka sasa.....
kumbe wapo
one in a billion huyo ndo wako sasa!!
Wengine tunatumia wikiendi kukutana na ndugu zetu mkuu mana ukisubiri likizo itapita miaka hujaonana na nduguzoBado unaishi nyumbani?
ndoa ina umuhimu wake ni kuifanya tu isiboe basi.... kuishi kiseja sawa lakini aangalie asiishewe nguvu na pesa hajapata wa kumaliza naye uzeeMkuu asikwambie mtu ndoa ni muhimu sana sasa hivi unaikataa lakn utambue sio Siku zote utakuwa na nguvu kama ulivyosasa..
Kuna kipindi hutakuwa na uwezo Wa kwenda pahala popote, kuna kipindi utaumwa utahitaji msaada Wa karibu, kuna kipindi umri utakutupa Mkono na wakat huo unahitaji mtu Wa kukupa faraja anakuwa hayupo ila mwanamke pekee ndio msaada kwako ..
Tunatishana tu ndoa haziko kama waliopo humu jf wanavyozichukulia
miss chagga shahidi wa haya . ww omba mungu umpate mke mwema tu
Si mchungaji huyu jamaa alikua ana bunyua kondoo wake hhh katisha kawapa nyumba? basi list ilikua ndefu poleni kondoo mlio achwa kwa kukosa malishoSio samahani tu na nyumba amewapa nasikia.
Kaoa kwa amani na baraka zote. Ndio inavyotakiwa lakini sio unaoa huku unauhasama na maex wako. Wanatamkaga laana japo unaweza ona ni ishu isiyokuwa na msingi.
Ok.Si mchungaji huyu jamaa alikua ana bunyua kondoo wake hhh katisha kawapa nyumba? basi list ilikua ndefu poleni kondoo mlio achwa kwa kukosa malisho