Hatimaye Comedian Masanja Mkandamizaji auaga ukapera

Hatimaye Comedian Masanja Mkandamizaji auaga ukapera

Niletee mmoja ambaye wewe unamuona anafaa kwa vipimo vyako....na mimi nitamuoa.....

One in a billion
Mkuu wanawake wema wapo ila kwakuwa ww akili yako umeshaitune kwamba hakuna mwanamke mwema ndio maana unakuwa kwenye msimamo huo.

Changamoto ktk ndoa kweli zipo na ili kuziondoa unatakiwa ww kama mwanaume simama ktk nafasi yako kama mwanaume na mwanamke mpe nafasi yake kama mwanamke, ziba mianya ya maneno ya pemben iwe kwandg hata kwa marafiki..
 
Wengi wanavumilia kuwepo kwenye ndoa...lakini hawafurahii kuwepo kwenye ndoa.....
Wachache waliokosa uvumilivu ndio tunasikia wametelekeza familia na wengine wanaburuzana mahakamani kudaiana taraka....
Sio kweli mm nipo kwenye ndoa na nafurahia kuwepo kwenye ndoa
 
Neema ipi inayopatikana kwenye ndoa za nyakati hizi......
Ndoa zenye neema ziliisha nyakati hizo ambapo wanawake walikuwa wanampenda mwanaume kwa jinsi alivyo na sio kwa kilichopo mfukoni mwake.......

Punda anapendwa kwa umahiri wake wa kubeba mizigo.....
 
Mkuu asikwambie mtu ndoa ni muhimu sana sasa hivi unaikataa lakn utambue sio Siku zote utakuwa na nguvu kama ulivyosasa..

Kuna kipindi hutakuwa na uwezo Wa kwenda pahala popote, kuna kipindi utaumwa utahitaji msaada Wa karibu, kuna kipindi umri utakutupa Mkono na wakat huo unahitaji mtu Wa kukupa faraja anakuwa hayupo ila mwanamke pekee ndio msaada kwako ..
Tunatishana tu ndoa haziko kama waliopo humu jf wanavyozichukulia
miss chagga shahidi wa haya . ww omba mungu umpate mke mwema tu
ndoa ina umuhimu wake ni kuifanya tu isiboe basi.... kuishi kiseja sawa lakini aangalie asiishewe nguvu na pesa hajapata wa kumaliza naye uzee
 
Sio samahani tu na nyumba amewapa nasikia.
Kaoa kwa amani na baraka zote. Ndio inavyotakiwa lakini sio unaoa huku unauhasama na maex wako. Wanatamkaga laana japo unaweza ona ni ishu isiyokuwa na msingi.
Si mchungaji huyu jamaa alikua ana bunyua kondoo wake hhh katisha kawapa nyumba? basi list ilikua ndefu poleni kondoo mlio achwa kwa kukosa malisho
 
Hii inatokana na kutokuonekana kwa mchekeshaji huyu kwenye harusi ya memba mwenzake wa kundi la Vichekesho la ze comedy wakati wengine wote walikuwepo ukimuacha mgonjwa Vengu pekee taarifa kutoka kwa mnyetishaji wetu zinasema wawili hawa wamekuwa hawaivi kutokana na sababu za kibiashara.
 
Back
Top Bottom