Hatimaye David Kafulila akabidhi ofisi, aendelea kusisitiza Rais Samia hakamatiki utekelezaji wa Ilani, amtaja kuvunja rekodi ya miaka 20 kwenye maji

Manapoambiwa CCM ina wenyewe, muwe mnaelewa. Kama aliyemteuwa angekuwa ameyaona haya na kuyakubali, kama ulivyoona wewe, kwanini kaamua kumtosa?
 
3. Ivi kweli Kuongeza bei ya pamba toka 800/kg mpaka 1,800/kg haya ni maneno matupu?

Let's be serious guys Kafulila ni asset kwa Taifa letu,
Akajitahidi sasa huko aendako kuongeza bei ya mafuta (petroli) kutoka Tshs. 3,440/= kwa lita mpaka Tshs. 4,820/= kwa lita.
 
Kama kuna RC alimwelewa na kumwelezea Vizuri Rais Samia kwa Umma basi ni Kafulila

Hamu yangu RCs waige mazuri ya Kafulila hasa kusema mazuri ya Rais wetu na Serikali anayoiongoza.
Machadema yanamchukia Kafulila kisa kumsemea mama vizuri, majaa hayapendi Sana yanataka yamtukane na asiwepo mtetezi
 
Manapoambiwa CCM ina wenyewe, muwe mnaelewa. Kama aliyemteuwa angekuwa ameyaona haya na kuyakubali, kama ulivyoona wewe, kwanini kaamua kumtosa?
Acha uchonganishi, Kafulila lazima apewe nafasi ya juu, ameonesha uwezo mkubwa Sana
 
Anaelewa mambo mengi apande tu
 
Viva Rais Samia Viva,Viva CCM Viva

CCM Ushindi Lazima 2025
 
Huyu Kafulila Mimi ndio kanileta CCM. Napenda alivyosimamia pamba ya baba yangu hapo simiyu
 
Kama kuna RC alimwelewa na kumwelezea Vizuri Rais Samia kwa Umma basi ni Kafulila

Hamu yangu RCs waige mazuri ya Kafulila hasa kusema mazuri ya Rais wetu na Serikali anayoiongoza.
Bila kusahau mazuri ya Chama cha Mapinduzi CCM TrioNeTwork 😍😍
 
Sasa akaungane na covid 19 kule Ufipa st
Mkuu kwa hadhi yako hizi comment sio,

Ukiona mimi CM 1774858 nimepost jambo jua kabisa hilo jambo ni la muhimu Sana kwa Taifa,

Mimi sijawahi kuwa chawa wa mtu ila nimejitoa kumsemea na kumsaidia mama wakati wote,

Kila anayemsemea vizuri Rais Samia huyo atakuwa automatically rafiki yangu,

#KAZI IENDELEE NA MAMA SAMIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…