AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Ila nayeye Amfollow sasa aache udwanzi wake wa kutofollow hata watu wake wa Karibu.
Hakuna namna tena, lazima amfollow King Kiba tu..
Kwani kuna mwingine?
Ukitaka kujua sindano imegusa mfupa angalia mapovu yalivyomwagwa...
Tuacheni tushangilie, kwetu sisi ni jambo jema pia.
Mbona Obama alivyomfollow Vanessa ilimake headlines? Hata sisi kwetu hii ni habari pia.
Hivi safari yako ya posta ulienda?
na bado mpaka watamjua kiba nani?
funza naye akikua huitwa inzi, kazi ipo!