Hatimaye Davido amfollow KingKiba Instagram

Hatimaye Davido amfollow KingKiba Instagram

Good, ni after Ali kumtag yday huko instagram ndio akaiona ndio akamfollow. Ti ti ti sio kwa sechi ndugu.
 
hahahahah wabongo bwana ila davido anajua sana kuzitumia opportunity,na jamaa ana make money through this!!!
 
Najisikia aibu! Yaani Breaking News Davido kum-follow Kiba!!!! Thanks God hili jukwaa ni la Kiswahili, tafadhali ndugu zetu Wakenya msipite kwenye huu uzi manake na nyie mlivyo na shobo, nisingependa hizi aibu zetu mzishuhudie!!
 
Hakuna namna tena, lazima amfollow King Kiba tu..
Kwani kuna mwingine?
Ukitaka kujua sindano imegusa mfupa angalia mapovu yalivyomwagwa...
Tuacheni tushangilie, kwetu sisi ni jambo jema pia.
Mbona Obama alivyomfollow Vanessa ilimake headlines? Hata sisi kwetu hii ni habari pia.
 
na bado mpaka watamjua kiba nani?
 
Back
Top Bottom