Hakuna namna tena, lazima amfollow King Kiba tu..
Kwani kuna mwingine?
Ukitaka kujua sindano imegusa mfupa angalia mapovu yalivyomwagwa...
Tuacheni tushangilie, kwetu sisi ni jambo jema pia.
Mbona Obama alivyomfollow Vanessa ilimake headlines? Hata sisi kwetu hii ni habari pia.

Jamvi lina viroja hili but I can understand mashabiki wa Kiba... huwa wanapata furaha za msimu mithili ya mvua za vuli!! Wangepata ahueni kwenye nomination za AFRIMMA lakini wanajikuta wametandikwa 6-1!! Waliwahi kufurahia Kiba kupiga live utafikiri yeye ndo mwana bongo flavor wa kwanza kupiga live... mbaya zaidi, wakati huyo Davido anam-follow Kiba leo, wasanii wengine wa bongo flavor keshawa-follow long time!!!My dia... Kumbe kiongozi wa nchi Tajiri na yenye nguvu zaidi ulinwenguni ana hadhi sawa na davido!!
Akimfollow back Davido atakua kawadharau wasanii wenzake wa bongo. Bora akaushe tu!
Hata Mimi nangojea kumuona akipita huku akisasambua.
Hivi safari yako ya posta ulienda?
Kweli Elimu muhimu sana .
Na ni jambo LA kusikitisha nchi hii kuwa na mtu kama wewe.
We elimu yako ni ipi? na imekusaidia nini? kushinda jf? wasomi wenzako wapo buys kutengeneza ma virus na ma ant-virus
punguan wa hed FaizaFoxy voice
+hili nalo la kusherehekea, aibu gani hii 🙈🙈🙈🙊🙊🙊
Hahaaaaaa kum follow napo watu wameumia aisee ushabiki mwingine bwana unaendaga extra miles na sio kila kitu utakipondea.Hakuna namna tena, lazima amfollow King Kiba tu..
Kwani kuna mwingine?
Ukitaka kujua sindano imegusa mfupa angalia mapovu yalivyomwagwa...
Tuacheni tushangilie, kwetu sisi ni jambo jema pia.
Mbona Obama alivyomfollow Vanessa ilimake headlines? Hata sisi kwetu hii ni habari pia.
Hahaaaa collabo itamfanya akose raha yeye na timu yakediamond atakuwa anatetemeka,tusubiri kolabo ambayo itavunja record ya africa kwa mauzo,singo moja watu wanaenda likizo miezi sita
Sio itawafanya, imeshawanyong'onyesha tayari.Hahaaaa collabo itamfanya akose raha yeye na timu yake
Wamelegea nyang'anyang'a in kibas voice. Hawa hawa wanajidai kulia lia wanataka wasanii wengi wajulikane ila kimoyoni moyoni ni #Selfish wa nguvu, Mara uzalendo,Mara chuki kumbe wao ndo inaongoza kwa roho mbaya hadi shetani ana washangaa.Sio itawafanya, imeshawanyong'onyesha tayari.
Hizi zile kelele zao humu unaziona tena? Watu tuliiiiii kama wamemwagiwa maji.
Wengine wanajikaza tu basi wanachoandika humu ni wendawazimu mtupu....
Wajuzi wa mambo tumeshajua tatizo liko wapi (collabo ya King & Davido)