el nino
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,712
- 5,058
Hakuna namna tena, lazima amfollow King Kiba tu..
Kwani kuna mwingine?
Ukitaka kujua sindano imegusa mfupa angalia mapovu yalivyomwagwa...
Tuacheni tushangilie, kwetu sisi ni jambo jema pia.
Mbona Obama alivyomfollow Vanessa ilimake headlines? Hata sisi kwetu hii ni habari pia.
My dia... Kumbe kiongozi wa nchi Tajiri na yenye nguvu zaidi ulinwenguni ana hadhi sawa na davido!!