Elections 2010 Hatimaye DED wa Hai district atoswa, alikataa kuidhinisha 100m kumwondoa Mbowe

Elections 2010 Hatimaye DED wa Hai district atoswa, alikataa kuidhinisha 100m kumwondoa Mbowe

yuele mkurugenzi wa wilaya ya hai bwana mtega sasa yamemfika baada ya kutemwa rasmi wiki hii kwa maelekzo ya makamba na celina kombani!

amehamishiwa makao makuu tamisemi bila shaka kumkomoa. mnamo wiki mbili zilizopita mbowe alizindua kampeni zake kwenye mji wa bomangome. shughulizote zikasimama akapokelewa kama mfalme.

kesho yake labda kwa kiwewe cha kushindwa, mkuu wa mkoa anayekaimu said kalembo alifunga safari toka tanga kuja moshi, wakafanya kikao yeye , mbunge fuya kimbita, mkuu wa wilaya ya hai somebody msigala, nk, ikaamuliwa ded atoe 100m toka kwennye halmashauri eti kusawazisha mambo

ded alipopewa maagizo hayo alitaka aelekezew mahali pa kutoa hilo fungu, na kwa maandishi. ndipo alipoonekana hafai.

nafasi yake imechukuliwa na afisa mipango wa wilaya ya same mr. humbe ambaye anakuja hai kuhakikisha mbowe anashindwa

kuwemi machp

Nimem-mind sana huyo DED,ni mfano wa kuigwa!
 
Sometime when l meet such stories l'm trying to easeup my mind but l endup in deep thinking and wonder if we hv morals like other people we preach and believe to be our compas. I will use my vote confort my heart,and l will wait God to take care the rest in my country Tz. Our time may passover bt since life will proceed l believe strugle for real freedom w'll never stop. I ask God wisdom to my fellow Tzanian. AMEN
 
Siku thelathini siyo nyingi katika kuhakikisha ya kuwa CCM inakuwa "HAS BEEN"
 
Hao watumishi wakiamishwa kimizengo kama hiyo waamue wajiuzuru kazi zao na watutangazie mapema hadharani kabla usalama wa taifa hawajawakolimba, umma utakuwa nyuma yao and it will not be the end of their life. Ukombozi unahitaji kujitoa muanga wakubali matatizo watakayopata wao na familia zao kwa muda, wakijua kwamba changes brings temporary discomfort. Baada ya hapo maisha yataendelea kama kawaida
 
Dc wa Hai ni Dr Norman Msigala.

Aliwahi kuniambia yeye ni mlokole, nashangaa kama ameshiriki kwenye vituko vya rushwa.

Mungu wamulike genge la CCM.

Hapana mkuu hajashiriki. Yeye alilazimishwa atoe milioni mia moja uli kuokoa jahazi la CCM i.e Kimbita katika kampeni maana Mbowe pale ni mwiba. Huyu DED alikataa suala hilo tena akafanya kwa maandishi ndipo sasa Kombani na Pinda wakamsogeza makao makuu halafu pale utasikia hapewi kazi ya madaraka. Huyu Celina Kombani ni hatari sana, ni mshenzi. Hivi mume wake anaitwa nani? Au mume kama yupo ni ceremonial tu. She is dume...........Mungu samehe.

 
Pole Mkurugenzi lakini popote ulipo jitambue kwenye moyo wako kwamba wewe ni SHUJAA tunahitaji watendaji wa aina yako wanao simamia haki kwa manufaa ya wananchi ,NCHI KWANZA VYAMA baadaye
 
Dc wa Hai ni Dr Norman Msigala.

Aliwahi kuniambia yeye ni mlokole, nashangaa kama ameshiriki kwenye vituko vya rushwa.

Mungu wamulike genge la CCM.

Anaitwa Norman Sigalla ni mtu wa Makete na aligombea ubunge jimboni makete akamwagwa vibaya sana na mbunge aliyekuwepo dk B.Mahenge. alitoa rushwa sana lakini hakufua dafu......akafanyafanya fujo za hapa na pale akaona maji marefu akarudi kibaruani haraka....naona sasa anajikomba ili wasimsahau kwenye ufalme wao....ila namuonea huruma kwa kuwa hataweza kubadili matokeo ya Mbowe....na UDC ndo huo tutaufuta sijui ataelekea wapi baada ya kuapishwa dk Slaa.
...........
 
We meneja kampeni anaitwa""kinena"" unatarajia nini akilini mwao...
 
Bwana Mungu yupo upande wetu
Kweli Mungu anatoa ishara. Hii inatuonyesha jinsi CCM wanavyojipanga kushinda kwa njia na gharama yoyote ile. Kazi ni namna ya kujipanga kuwazuia. Tukingoja mpaka siku ya uchaguzi kwenda kusimama kwenye vituo tutakuwa tumechelewa. Njia sahihi ni kuanza sasa kuzijua mbinu zao ili zisiweze kufanikiwa. Kusema ukweli Watanzania bado tu waoga. Ni wepesi wa kukubali yaishe. Ndiyo sababu tunasikia kauli kutoka CCM kila mara kama 'tusikubali kuivunja amani yetu', 'tukubali matokeo','ushindi ni lazima', nk. Bila kuwa wapiganaji tumeshindwa hata kabla ya kuanza.
 
Jambo la msingi hapa ni kuwa hawa watanzania wamejitoa mhanga kuweka mbele maslahi ya Taifa kwanza.Na kila siku mamia kama si maelfu ya watanzania wanadefy the powers that be kwa kusimama katika principles.Hivi sisi wengine tunajitoa kwa vipi na kwa kiasi gani ili tuweze kupata hayo mabadiliko tunayoyalilia?
Ni wangapi kati yetu tumejitoa kuchangia harakati hizi za ukombozi wa nchi yetu?Kwa fedha,muda,mali,kushawishi ndugu na jamaa zetu wasioelewa?Ni kwa kiasi gani tumeshiriki katika kufichua mauozo katika serikali na chama twawala?
Kwa kifupi I challenge us to exarmine ushiriki wetu katika struggle.Hakuna serikali duniani inayopenda kuachia madaraka,hususan serikali corrupt kwa vile mabadiliko yanamaananisha kupoteza madaraka,ukwasi,opportunities na political clout!
CCM hawataachia ngazi hivi hivi ndugu zangu,Believe me,They will put up a fight to the end!
Struggles are not won by wishful thinking!They are won by sacrifice,by self denial,by persistence and by strategic planning and execution coupled by commitment to succeed!
Be part of the change!!!



:llama:

"True freedom must be expressed through the human ability to think critically, to analyze and to make informed decisions about oneself, his society and the world "- Sidanganyiki2010
 
ccm hii, sijui kwa nini isife kabla ya uchaguzi
 
Kweli wakiiba kura hapata lalika hata TAnzania,,

tutafanya yale yaliyotokea Kenya... Mpaka kieleweke...

Jk hafai hata kupewa ukatibu kata sembuse uraisi
 
Dc wa Hai ni Dr Norman Msigala.

Aliwahi kuniambia yeye ni mlokole, nashangaa kama ameshiriki kwenye vituko vya rushwa.

Mungu wamulike genge la CCM.

Kama Sigara alikwambia ni mlokole alikudanganya, huyu kijana ni manfiki sana. Hivi majuzi huko makete alikamatwa na TAKUKURU akitoa rushwa wakati wa kura za maoni za kuteuliwa kugombea ubunge na nadhani kesi yake ni moja ya hizo Hosea anazosema karibu watapelekwa mahakamani!! Hawezi kuwa mlokole huyu aliwahi hata kutapeliwa mafuta na kuku toka Moshi akiwa anampelekea Membe waziri wa mambo ya nje!!
 
Hiyo ndio CCM, Walianza kwa mkurugenzi wa jiji la Arusha kwa kuisapoti CHADEMA kapelekwa kuwa Afisa Muajiri wa wiliya ya kigoma, kwa hiyo haya magari yanayoonena na picha za chagua CCM ni uoga wa maisha huo, kila mtu ana uhakika na post au biashara zake, ni kama alivyosema wakati ule mh. waziri mkuu mstaafu bw. Sumaye kuwa ukitaka masha bora wewe kuwa CCM
 
Mambo haya ni aghalabu kutokea sana. inauma sana pale mtu anapotetea ukweli au uhalisia wa mambo lakini anatoswa na walinda maslahi binafsi
 
Huyu Celina Kombani ni hatari sana, ni mshenzi. Hivi mume wake anaitwa nani? Au mume kama yupo ni ceremonial tu. She is dume...........Mungu samehe.


Mimi nilishangaa sana kusikia mtu kama Celina anakuwa waziri, kuanzia hapo nikajua nchi yangu tayari imepotea. Na kweli indicators zote zinaonyesha tumerudi nyuma baada ya kuendelea mbele kama wenzetu wengi walivyofanya katika kipindi cha miaka 5.
 
Mtetezi wetu yu hai,tarehe 31 Oct atawaongoza watanzania waondokane na serikali ya kidhalimu ya CCM.
Slaa ukiingia madarakani hakikisha katiba inabadilika ie kampeni zikianza raisi marufuku kufanya au kutengua uteuzi wa mtu yeyote.
Watu hawaoni ata HAYA JAMANI
 
Dah, kwa wale mliopiga theory kidogo kuna kitu kinaitwa 'Rise and Fall' sasa mimi naamini ili tukae level lazima tudundane kidogo!! ili tuanze tena upya nadhani tutaheshimiana.........

Nimeshapata AK47 na risasi kibao nasubiri CCM waanze tu ili tupeane adabu kidogo kama jirani zetu wa Kenya.
 
Back
Top Bottom