Hatimaye Diamond amtakia ndoa njema Ali Kiba

Diamond ni msanii mwenye roho nzuri sana huwa hana shida na mtu yeye hujali yanayo muhusu tuu na hupambana na hali yake....
Diamond ana msaidia sana Alikiba kuwaka....
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Hamna jipya hapo. Ni kama kwenye soka kuna mashbiki maandazi wanaoamini Messi na Ronaldo haziivi.
 
Hii post imeandikwa kimajungumajungu eti nimeambiwa kiba kaoa leo!!!!!!! Kwa wazee wa kiswahil wanaelewa hapo
 
Huyo mwenye nywele kama kamba ya katani anaonekana mikono yake imekomaa
Akipima oil kwa mzungu wake sijui hua inakuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…