Hatimaye Diamond amtakia ndoa njema Ali Kiba

Watanzania:Mambo ya msingi vs upupu![emoji116][emoji53][emoji53]
 
Kwahyo bongo hakuna mademu wazuri? ?mbona wanaenda kuoa huko ng'ambo jamani, ufafanuzi plz
Wabongo uswahili mwingi sana,fanya case study kwa Mobeto na Uwoya utaamni...bora kaoa mombasa tu kule hakuna ujinga ujinga...
 
domo na kibakuli wote washamba tu wansishi kwa kitegemea kiki za bashite.
 
Diamond ana akili,anajipendekeza kwa alikiba ili kuwakomoa clouds,target yake akubalike kwa alikiba ili hata wasafi TV ipae,lengo alikiba asije akajitosa maziwa kuwa msanii wa clouds wa kupambana na diamond!.

Diamond ana post halafu mwenyewe anamwita kiba "king kiba"?.Diamond anaangalia fursa.
 
Wabongo kwa negativities hamjambo!!

Na hilo la kumuita King Kiba lisikusumbue... hata Steve Mangere watu wanamuita Steve Nyerere kwa sababu Steve Mangere mwenyewe anajisikia faraja kuitwa Steve Nyerere!!
 
Naunga mkono hoja... ila hii kauli "nasikia King Kiba anaoa leo" ... ni kwamba hakuwa na taarifa za awali?

Na hii "mfikishieni salamu zangu" Naona ingependeza zaidi kama angeandika "nakutakia kheri" badala ya kutuma wapambe wafikishe salamu

All in all.. kijana angalau ameonesha kufungua milango ya kuondoa uhasama ambao kwangu naona ni move nzuri kwa wote wawili.
 
Hii post imeandikwa kimajungumajungu eti nimeambiwa kiba kaoa leo!!!!!!! Kwa wazee wa kiswahil wanaelewa hapo
Unaweza ukawa sahihi... na hii "mfikishieni salamu zangu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…