Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Hahahaaa!! Kama nakuona leo unavyohangaika kupita huku na huko[emoji85] [emoji85]Mavi yakoooo!!Niko Kenya Leo tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa!! Kama nakuona leo unavyohangaika kupita huku na huko[emoji85] [emoji85]Mavi yakoooo!!Niko Kenya Leo tafadhali
Mambo ni fireeeeHahahaaa!! Kama nakuona leo unavyohangaika kupita huku na huko[emoji85] [emoji85]
Rafiki tatizo huna chura![emoji28][emoji28][emoji28]Nilikumiss
Hivi kisa ni flat screen ndiyo maana kaka yangu Asprin anachepuka kwa Sakayo?[emoji30][emoji30][emoji30]Flat screen yangu Asprin amiunganisha na Azam TV
Hapana,Sakayo huyu hapa![emoji116]Mbona Sakayo pia ana flat screen kama ya kwangu?
na ww umechukia ??[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Wabongo uswahili mwingi sana,fanya case study kwa Mobeto na Uwoya utaamni...bora kaoa mombasa tu kule hakuna ujinga ujinga...Kwahyo bongo hakuna mademu wazuri? ?mbona wanaenda kuoa huko ng'ambo jamani, ufafanuzi plz
Diamond ana akili,anajipendekeza kwa alikiba ili kuwakomoa clouds,target yake akubalike kwa alikiba ili hata wasafi TV ipae,lengo alikiba asije akajitosa maziwa kuwa msanii wa clouds wa kupambana na diamond!.Diamond ni msanii mwenye roho nzuri sana huwa hana shida na mtu yeye hujali yanayo muhusu tuu na hupambana na hali yake....
Diamond ana msaidia sana Alikiba kuwaka....
Diamond angependa sana tena sana kuwa na amani na Ali lakini tatizo ni Ali atakosa kupata ugali wa kila siku maana kupitia sinto fahamu baini yao Ali anapata mkate wa kila siku....
Wabongo kwa negativities hamjambo!!Diamond ana akili,anajipendekeza kwa alikiba ili kuwakomoa clouds,target yake akubalike kwa alikiba ili hata wasafi TV ipae,lengo alikiba asije akajitosa maziwa kuwa msanii wa clouds wa kupambana na diamond!.
Diamond ana post halafu mwenyewe anamwita kiba "king kiba"?.Diamond anaangalia fursa.
Naunga mkono hoja... ila hii kauli "nasikia King Kiba anaoa leo" ... ni kwamba hakuwa na taarifa za awali?Diamond ni msanii mwenye roho nzuri sana huwa hana shida na mtu yeye hujali yanayo muhusu tuu na hupambana na hali yake....
Diamond ana msaidia sana Alikiba kuwaka....
Diamond angependa sana tena sana kuwa na amani na Ali lakini tatizo ni Ali atakosa kupata ugali wa kila siku maana kupitia sinto fahamu baini yao Ali anapata mkate wa kila siku....
Unaweza ukawa sahihi... na hii "mfikishieni salamu zangu"Hii post imeandikwa kimajungumajungu eti nimeambiwa kiba kaoa leo!!!!!!! Kwa wazee wa kiswahil wanaelewa hapo
kwa sababu kiba100 hajawahi kuwakilisha taifaNamshangaa Magufuli mpaka sasa yuko kimya tu, yaani hana taarifa za harusi au hajui kutumia Instagram?