Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
HONGERA KWA KING KIBA
Hahhah nimezeeka siku hizi boss[emoji2][emoji2]leo nimekufuma ukiwa wa mwisho kupost.
Mkuu ikiwa hakupewa mualiko na jambo limefanyika kuna ubaya kusema Nimesikia....Mfikishieni..??Naunga mkono hoja... ila hii kauli "nasikia King Kiba anaoa leo" ... ni kwamba hakuwa na taarifa za awali?
Na hii "mfikishieni salamu zangu" Naona ingependeza zaidi kama angeandika "nakutakia kheri" badala ya kutuma wapambe wafikishe salamu
All in all.. kijana angalau ameonesha kufungua milango ya kuondoa uhasama ambao kwangu naona ni move nzuri kwa wote wawili.
Yeah... sahihi kabisa. Yawezekana kweli hakupata mwaliko na labda angepewa angeenda. All in all Platnumz kafungua njia ya busara baina ya hawa nguli wawili...Mkuu ikiwa hakupewa mualiko na jambo limefanyika kuna ubaya kusema Nimesikia....Mfikishieni..??
Kwanini isitafsirike Diamond amsikitika Kiba kutompa mualiko??
Anyway inaonesha sasa hawa vijana wameanza kuwa na busara!!
Diamond ni msanii mwenye roho nzuri sana huwa hana shida na mtu yeye hujali yanayo muhusu tuu na hupambana na hali yake....
Diamond ana msaidia sana Alikiba kuwaka....
Diamond angependa sana tena sana kuwa na amani na Ali lakini tatizo ni Ali atakosa kupata ugali wa kila siku maana kupitia sinto fahamu baini yao Ali anapata mkate wa kila siku....
Kumbuka kiba yupo kwenye game toka mondi yuko forme one DDiamond ni msanii mwenye roho nzuri sana huwa hana shida na mtu yeye hujali yanayo muhusu tuu na hupambana na hali yake....
Diamond ana msaidia sana Alikiba kuwaka....
Diamond angependa sana tena sana kuwa na amani na Ali lakini tatizo ni Ali atakosa kupata ugali wa kila siku maana kupitia sinto fahamu baini yao Ali anapata mkate wa kila siku....