Hatimaye Diamond amtakia ndoa njema Ali Kiba

Hatimaye Diamond amtakia ndoa njema Ali Kiba

Naunga mkono hoja... ila hii kauli "nasikia King Kiba anaoa leo" ... ni kwamba hakuwa na taarifa za awali?

Na hii "mfikishieni salamu zangu" Naona ingependeza zaidi kama angeandika "nakutakia kheri" badala ya kutuma wapambe wafikishe salamu

All in all.. kijana angalau ameonesha kufungua milango ya kuondoa uhasama ambao kwangu naona ni move nzuri kwa wote wawili.
Mkuu ikiwa hakupewa mualiko na jambo limefanyika kuna ubaya kusema Nimesikia....Mfikishieni..??

Kwanini isitafsirike Diamond amsikitika Kiba kutompa mualiko??

Anyway inaonesha sasa hawa vijana wameanza kuwa na busara!!
 
Yeah... sahihi kabisa. Yawezekana kweli hakupata mwaliko na labda angepewa angeenda. All in all Platnumz kafungua njia ya busara baina ya hawa nguli wawili...
 
Diamond ni msanii mwenye roho nzuri sana huwa hana shida na mtu yeye hujali yanayo muhusu tuu na hupambana na hali yake....
Diamond ana msaidia sana Alikiba kuwaka....
Diamond angependa sana tena sana kuwa na amani na Ali lakini tatizo ni Ali atakosa kupata ugali wa kila siku maana kupitia sinto fahamu baini yao Ali anapata mkate wa kila siku....

Ivi Kiba amekua maarufu sababu ya Diamond??alipataje ugali wake na familia yake kabla ya Diamond?inawezekana nikawa nimesahau ila naamini Kiba amekua maarufu kabla ya Diamond kuna gap kubwa toka Kiba aanze kutafuta riziki kupitia muziki mpaka Diamond nae alipoingia kwenye muziki.
Siku za usoni haya mambo ya timu yameonyesha jinsi gani watoto wengi wa kiume wamewanyang'anya dada zao tabia ya wivu wa kike naona hata umu JF wapo hawa Diamond na Kiba ni wanaume wanaosaka mafanikio kwa njia zao ni heri na sisi wanaume wengine tuvuje jasho kwa njia zetu tuache majungu kwa ulofa huu wa ipo siku hawa watoto watawakazia mademu na dada zenu bila kujali uko timu yake au ya mwenzake.
No hard feeling tho'
 
Diamond ni msanii mwenye roho nzuri sana huwa hana shida na mtu yeye hujali yanayo muhusu tuu na hupambana na hali yake....
Diamond ana msaidia sana Alikiba kuwaka....
Diamond angependa sana tena sana kuwa na amani na Ali lakini tatizo ni Ali atakosa kupata ugali wa kila siku maana kupitia sinto fahamu baini yao Ali anapata mkate wa kila siku....
Kumbuka kiba yupo kwenye game toka mondi yuko forme one D
 
Back
Top Bottom