Hatimaye Diamond amtakia ndoa njema Ali Kiba

Hatimaye Diamond amtakia ndoa njema Ali Kiba

Hao hata hawanaga mabifu,media+mashabiki ndo wanaotengeneza bifu
 
Kupitia ukurasa wake wa instagram diamond platnumz amemtakia Ali kiba Ndoa njema yenye baraka na furaha Tele!

Kitu ambacho watu wengi hawakutegemea lakini diamond kakifanya hakika kweli Sanaa Imezaliwa Upya!

Nini mtazamo wako

View attachment 750260
Diamond hana shida kabisa,shida ipo kwa yule bamia la kariakoo ana roho mbaya sana
 
Kwahyo bongo hakuna mademu wazuri? ?mbona wanaenda kuoa huko ng'ambo jamani, ufafanuzi plz
 
Wasafi TV wamepost ndoa ya Kiba
IMG_20180419_212032_870.jpg
IMG_20180419_212008_469.jpg
 
Back
Top Bottom