Hatimaye Diamond anunua Private Jet

Haters hawajaamka au wanachungulia kwa mbali hii post
 
Pengine upo sahihi lakini kiasi!!! Kwann iyo habari uje leo na ngoma imetoka jana?? Yani wanafanya biashara yao kishamba sana aisee..!!!! Uku mtaa hata sisi tunafanya biashara tungekuwa tunakwenda kwa mwendo wa kiki sijui mtaa ingekuwaje walahi!!! Maana hii taarifa sana hakika nayo" hii ya jet na somjo
 
Sasa hilo swali gani? Kwani wewe ratiba yake ulikuwa unaijua? Ulikuwa unajua kuwa juzi atasafiri kwenda S.A kukaa mwezi? Baada ya kufika S.A ratiba yake ulikuwa unaijua?
And by the way kwani ni harmonize aliyetoa ngoma peke yake? Maisha yapo kila siku na kila siku watu wanatoa ngoma. Mbona husemi kuwa kiki zao zinazima ngoma za hao wengine?
Kila mtu afanye maisha yake tu kama anavyoona inafaa. Kama ukitoa ngoma ikafail basi imekataliwa tu.
 
Kwaiyo mondi kanunua jet?
 
Kwaiyo mondi kanunua jet?
Comment yangu ya kwanza tu nimekwambia hawezi kuwa kanunua hiyo jet, wala yeye hajaandika kanunua hiyo jet. Mleta post ndivyo kawaza hivyo.
Hivi ukienda kwenye hotel kubwa ukapiga picha hiyo hotel ukaandika Alhamdulillah, ina maana umeandika nimenunua hii hotel?
 
Yani hawa jamaa bana wanacho jitaidi nikutuzima ngoma ya harmonize.... Kwaiyo wanaleta mastor mob ili raia wa focus na izi story kwenye mitandao wenyewe wanaita (kiki) pendaneni wasanii wa muziki ili muziki wa Tanzania ufike duniani uko....
bado unaushamba mwingi sana kwahiyo watu wasifanye mambo yao kisa harmonize katoa wimbo serious? yeye kawa nani kwani? kwani wewe huwezi kusikiliza huo wimbo huku ukifuatilia habari ya jet? acha uqm
 
Kwaiyo mleta Mada atakuwa snitch.... Kutuletea habari za uwongo
 
Hivi huoni mshamba ni wewe! Yaani kwavile Harmonize kaachia ngoma, basi unatarajia watu wasiandike habari za Diamond? Hivi habari kama hii inazuia vipi watu kuangalia na kuijadili ngoma ya Harmonize? Mtu atatuamia dakika ngapi kusoma na kuijadili hii mada hata ashindwe kwenda kuiangalia hiyo ngoma ambayo na yenyewe haizidi dakika 5?Btw, kwenye hiyo screenshot umeona kuna mahali ameandika kwamba amenunua private jet?

Acha ushamba!!!
 
Kwaiyo mleta Mada atakuwa snitch.... Kutuletea habari za uwongo
Yeye kaona picha na neno Alhamdulillah, eti kapost diamond kanunua ndege.
Mashabiki bwana, au umesahau rolls royce waliwahi post picha ya gari wakiipandisha ndege ya mizigo kuwa inakuja tanzania kwa mteja, ikaanzishwa thread humu kuwa mteja ni diamond wakati hata jina la mteja hawakuwa wamelitaja. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mashabiki bwana
 
Hahahahahahahahahahahahahahah nasikia ile rolls royce nasikia inapaki tu madale pale dah jamaa ana hela yule.
 
Hivi ameleta kiki ipi?
 
Rihhana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…