Hatimaye Diamond anunua Private Jet

Hatimaye Diamond anunua Private Jet

Diamond ametimiza ndoto yake ya kuwa na ndege binafsi.

Anakuwa msanii wa pili Africa kuwa na private jet.

Mdogo mdogo watakubali tu level za Diamond ni kubwa sana kwa sasa.

Kuna swali naona linaulizwa sana huko insta eti anawezaje kumiliki Jet wakati amepanga nyumba....Soon mtajibiwa kwa vitendo, inaweza ikawa ni kitu kikubwa kuwai tokea Africa nzima. 😊😊😊
View attachment 1762066View attachment 1762065
Kutumia nguvu kubwa kuandika maendeleo ya mwenzako ili hali hata yeyet hajadeclear kihivyo huku unawananga wengine ni uchawa, halafu ni ushamba inawezekana hata 100,000 hapo mfukoni huna.
 
INAIJUA FAMILIA YAKEE WEWE
Angenunua ndege mpaka beki tatu(issa azam) angepost kumpa hongera,Mama dangote anbepost vigeregere(hongera) dadalevo na ubwatukaji lazma angepost tu mme wake kununua ndege,,kwinidalini angepost ,,yaani Familia nzima cku iyo ingepost mpaka kale Kalukamba kama ni ndege izi tulizokua tunazipiga na manati zikiwa mitini mimi,mwalami na Juma chogo pale shule ya msingi BUZA darasa la 7 mkondo C apo saawa ila kama ndege ya abiria ataeadanganya machawa& mashabiki zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mleta uzi atakuwa juma lokole ndiomaana anajipendekeza sana.
 
Inawauma Sana Diamond kununua ndege wakuu , tukomaeni na bajaji wazee
 
Tumeshtuka Dada hatununui huu upuuzi
rudisha kwa bosi wako
 
Tuseme anauwezo wa kununua ndege lakini swali je anahitaji ndege? Mimi nadhani kama kanunua kweli kakosea sana sababu hakuna sababu ndege za uhakika zipo na zaidi za uhakika wewe lipa nauli tu mtu mwenyewe sio kila siku unasafiri umetaka ndege yako una trip kodisha mbona ziko nyingi. Gharama za kutunza ndege sio jambo la kitoto maana yule ana gharama akipaa hata akiwa chini unalipa tu kuna gharama za parking tu pale airport sio mchezo na landing fees na bado lincence.
 
 
Ivi hapa bongo kuna matajiri wanaomiliki private jet??



Kama hamna jamaa kaweka rekodi isiyofutika milele
 
Back
Top Bottom