Punda wa Dobi
JF-Expert Member
- Jul 4, 2013
- 591
- 237
Toa takataka hizi kenge weweDiamond ametimiza ndoto yake ya kuwa na ndege binafsi.
Anakuwa msanii wa pili Africa kuwa na private jet.
Mdogo mdogo watakubali tu level za Diamond ni kubwa sana kwa sasa.
Kuna swali naona linaulizwa sana huko insta eti anawezaje kumiliki Jet wakati amepanga nyumba....Soon mtajibiwa kwa vitendo, inaweza ikawa ni kitu kikubwa kuwai tokea Africa nzima. πππ
View attachment 1762066View attachment 1762065
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] usisahau kawavimbia had Forbes tak.o yuleMtoto wa tandale anazingua sana, anajua kuwavimbia mafala
V8 ya zawadi na menejimenti nkajua tu tayari mzigo umepigwa sopsop gereji, ile beamer nayo mkweche kauziwa na mbongo mmoja, prado nayo daa! Mchizi hajawahi agiza kitu kutoka Japs ata, anakamatishwa na wahuni wa hapahapa twn. Ofisi ya WCB mbezi ni mjengo wa kusaga if I'm not mistaken, hiyo anayoishi amepanga. Wanampelekapeleka Kama kitenesi,mapafyum ya kusaga, makaranga ya wahindi ila Vichwa maji wanajua staa wao bilionea [emoji23][emoji23][emoji23] m*f*
Huyu ni tapeli tu anapenda kwenda na akili za watanzania wengi kila akisema kitu watu wanashabikia lakini hakuna ukweli wowote. Hana utajiri wowote yote ni madrama tu anapenda kuendesha maisha kwa kiki tu sio maisha halisi. Watanzania lazima tuelewe kuna maisha halisi na maisha ya mtandaoni na nawakikishia kuwa ukijua maisha halisi ya wasanii wengi utatamani kuwachapa bakola pumbavuuuuuuuuuu zao.Naweza kukubaliana nawe
Nyumba moja hapo Bei gani mkuu?Msanii mkubwa lazima aji-brand na mbinu mojawapo ni kumiliki mali za kifahari nakuishi kifahari, mfano kutembelea sports car ya bei mbaya ama Rolls Royce, kuishi mtaa wa kishua kwenye jumba la kisasa la bei mbaya n.k.
Namshauri huyu msanii wetu mkubwa akanunue nyumba kule Fumba estate tena zile za sea view zinazotazamana na bahari kabisa avute sports car moja makini itamuweka pazuri sana kwe anga za ki-supa staa
View attachment 1814748
View attachment 1814749
View attachment 1814750
Naomba registration number ya hiyo ndegeDiamond ametimiza ndoto yake ya kuwa na ndege binafsi.
Anakuwa msanii wa pili Africa kuwa na private jet.
Mdogo mdogo watakubali tu level za Diamond ni kubwa sana kwa sasa.
Kuna swali naona linaulizwa sana huko insta eti anawezaje kumiliki Jet wakati amepanga nyumba....Soon mtajibiwa kwa vitendo, inaweza ikawa ni kitu kikubwa kuwai tokea Africa nzima. πππ
View attachment 1762066View attachment 1762065
Mtoto wa tandale anazingua sana, anajua kuwavimbia mafala
V8 ya zawadi na menejimenti nkajua tu tayari mzigo umepigwa sopsop gereji, ile beamer nayo mkweche kauziwa na mbongo mmoja, prado nayo daa! Mchizi hajawahi agiza kitu kutoka Japs ata, anakamatishwa na wahuni wa hapahapa twn. Ofisi ya WCB mbezi ni mjengo wa kusaga if I'm not mistaken, hiyo anayoishi amepanga. Wanampelekapeleka Kama kitenesi,mapafyum ya kusaga, makaranga ya wahindi ila Vichwa maji wanajua staa wao bilionea πππ m*f*