Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Hii ni baada ya kukaa mwaka mmoja na mwez mmoja bila kuifungia yanga goli katika mechi za kimashindano.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga 1 gwambina 0 nchimbi n wamoto balaaaduuu balaa kiongozi tupe updates
Mashabiki wa Uto wameisusa timu yao,hata line up hapa jukwaani wameshindwa kuweka.Tupeni lineup ya Yanga
Huu usenge sasa gwambina wanazinguaYanga 2 Gwambina 1
Alafu akachomesha🤣🤣🤣🤣Hii ni baada ya kukaa mwaka mmoja na mwez mmoja bila kuifungia yanga goli katika mechi za kimashindano.