Duh!!Sawa!! Kakuletea na Lady pepeta?
Siyo aikomboe bali aivuruge kama Pro wa KAFU.Karibu baba uikomboe CHADEMA kutoka kwa mkoloni wake EL.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji574] [emoji574] lumumba mnafurahisha sansanaKaribu sana jembe, wewe ndo mpinzani wa kweli
Mpinzani wa kweli ni mnafki na mlaghai wa sisiemu akipandikizwa upinzaniKaribu sana jembe, wewe ndo mpinzani wa kweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu siasa sikuwahi kufikiria kama upinzani wangempokea lowassa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji574] [emoji574] lumumba mnafurahisha sansana
Ameshakuwa jembe gafla[emoji15]
Si mlisema kaiba mke wa jamaa flani[emoji1][emoji1][emoji28][emoji28][emoji28]
Wamegundua hana dosari ndo mana.[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu siasa sikuwahi kufikiria kama upinzani wangempokea lowassa
amekua balozi canadaKaribu baba uikomboe CHADEMA kutoka kwa mkoloni wake EL.