Hatimaye DK SLAA arejea

Hatimaye DK SLAA arejea

Karibu baba uikomboe CHADEMA kutoka kwa mkoloni wake EL.
 
Karibu sana jembe, wewe ndo mpinzani wa kweli
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji574] [emoji574] lumumba mnafurahisha sansana
Ameshakuwa jembe gafla[emoji15]
Si mlisema kaiba mke wa jamaa flani[emoji1][emoji1][emoji28][emoji28][emoji28]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu siasa sikuwahi kufikiria kama upinzani wangempokea lowassa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu siasa sikuwahi kufikiria kama upinzani wangempokea lowassa
Wamegundua hana dosari ndo mana.
Mpakaleo ile mahakama ya maficemmafisadi inamuogopa hata kum[emoji112]
Hawamuiti na hawatomuita.
Pombe hasira zake ndo anamalizana nae kwa kuvunja jengo lake kumtia hasara.
Wananchi wa ubungo watamjibu tu.
 
Post ya mwaka jana hii jamani...Naona mmekazana kupost tu,...Haihusiani na kipindi hiki
 
Back
Top Bottom