Hatimaye Dotto James aonekana hadharani

Hatimaye Dotto James aonekana hadharani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hatimaye Katibu Mkuu wa zamani wa Wizara ya fedha, Bwana Dotto James ameonekana hadharani baada ya kupotea kwa kipindi kirefu.

Ameonekana huko Chato kwenye maadhimisho ya miaka 3 tangu kufariki kwa John Magufuli aliyekuwa Rais wa Tanzania.

Huyu hapa

Screenshot_2024-03-18-00-24-10-1.png
Screenshot_2024-03-18-00-55-20-1.png
 
Hatimaye Katibu Mkuu wa zamani wa Wizara ya fedha , Bwana Dotto James ameonekana hadharani baada ya kupotea kwa kipindi kirefu .

Ameonekana huko Chato kwenye maadhimisho ya miaka 3 tangu kufariki kwa Mjomba wake John Magufuli aliyekuwa Rais wa Tanzania .

Huyu hapa

View attachment 2937681View attachment 2937682
"........tangu kufariki kwa mjomba wake........." duh
 
Chadema ya visasi na upumbavu kama kawaida yake na majuha wake kina Erythrocyte!
Mtakufa na misongo mpaka kesho kutwa!

Umeandika ujinga gani huu? Ulitakiwa uandike hao CHADEMA wamefanya kisasi gani ili watu wajue. Lakini kwa namna hii uliyoandika, unaonesha uwezo mdogo wa akili katika kujenga hoja.
 
Back
Top Bottom