Hatimaye Dotto James aonekana hadharani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hatimaye Katibu Mkuu wa zamani wa Wizara ya fedha, Bwana Dotto James ameonekana hadharani baada ya kupotea kwa kipindi kirefu.

Ameonekana huko Chato kwenye maadhimisho ya miaka 3 tangu kufariki kwa John Magufuli aliyekuwa Rais wa Tanzania.

Huyu hapa

 
"........tangu kufariki kwa mjomba wake........." duh
 
Chadema ya visasi na upumbavu kama kawaida yake na majuha wake kina Erythrocyte!
Mtakufa na misongo mpaka kesho kutwa!

Umeandika ujinga gani huu? Ulitakiwa uandike hao CHADEMA wamefanya kisasi gani ili watu wajue. Lakini kwa namna hii uliyoandika, unaonesha uwezo mdogo wa akili katika kujenga hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…