Hatimaye Dotto James aonekana hadharani

Huyo ndio kamlipia Mwenyekiti deni la Tanzania Daima 😂😂🔥
 
Dotto James ni mpwa wa marehemu Magufuli. Magufuli alimtoa TANROADS kama ofisa wa kwaida kwenye uhasibu. Akamsogeza Wizara ya fedha kuwa Naibu KM wakati wa Likwelile. Kisha akamtoa Likwelile na kumpa Dotto James u-Katibu Mkuu hazina. Katibu Mkuu Hazina ndiye Mlipaji Mkuu wa Serikali.

Bado wajinga wanadai Magufuli aliuwa mzalendo. Mzalendo gani umaeeka mtoto wa.dada yako kwenye kazi nyeti kama hiyo?? Wizi mtupu
 
Mbona maza kaweka mkwe wake TAMISEMI?
 
Chadema ya visasi na upumbavu kama kawaida yake na majuha wake kina Erythrocyte!
Mtakufa na misongo mpaka kesho kutwa!
Visasi vipo ccm na serikali yake,wapi Mr.Saanane?,familia yake itapata closure lini?,@wanaonekana kwenye picha hiyo kama very innocent gentlemen kumbe wauaji wakubwa na mafisadi,wapi fedha zangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…