Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Yanga anaenda kupambania namba. Simba ana uhakika wa kupata namba 100%. Hakuna mchezaji kwa ligi ya Africa Mashariki na kati hatamani kucheza Yanga.Elly Mpanzu Kibisawala ni mchezaji mzuri lakini hawezi kuja Young African SC.
Mkuu, ngao ya Jamii Simba angeshonwa si chini 2 tena. Nnaamini Yanga akiingia final, Simba atatepeta akimbie final.Huu mwaka Mashabiki wa SIMBA wameanza kugaragazwa na maumivu mapemaaa Asubui asubui !!!
na uyu Eng niwatake Wana simba wakamuombe msamahaa!!!
Nakumbuka siku ile YANGA inapigwa 4 : 1 na SIMBA uyu ENG alikuwepo uwanjani !! wkt ule pia sio mbali YANGA ilitoka kupigwa 5 na SIMBA
mwamba itakuwa ilimuuma sana!!!
Ndipo yeye kaisuka YANGA ijipigie kama ngoma SIMBA. !!!
TFF wamegundua ndiomana kwenye ngao ya jamii wakaweka timu 4 yani SIMBA nikama tu kapewa chocho kama ujiwezi pitia uku Familia haaaaa!!
'Sawaaaa' nini wewe! Itetee timu yako huko. Acha kuendekeza unyonge.Sawaaaa...
Hatubishani na tetesi FC...'Sawaaaa' nini wewe! Itetee timu yako huko. Acha kuendekeza unyonge.
Duh aisee DPworld waichukue simba harakaMchezaji tishio wa club ya Simba Elie Mpanzu ameiandikia club hiyo kuomba kuachana nayo baada ya kupata timu nyingine.
Ameikumbusha club hiyo makubaliano ilikuwa ni kusajiliwa kwa mwaka 1 kwa milioni 330 na ikitokea offer kubwa kwenye timu nyingine basi mchezaji atailipa Simba milioni 330 hata kama mkataba wake uko ukingoni.
Viongozi wa Simba walipotaka kujua timu anayokwenda mchezaji alijibu (na kuambatanisha mkataba) kuwa hakukuwa na makubaliano yoyote ya mchezaji kutaja timu anayoelekea na kwamba ataondoka kama mchezaji huru baada ya kurejesha fedha hiyo.
Ameongeza kuwa endapo Simba itaona vema yuko tayari kubaki kwa dau la milioni 986 na si vinginevyo na kwamba fedha hiyo ni lazima ilipwe kwa mkupuo na mshahara usiopungua milioni 31.3 kila mwezi.
Viongozi wameahidi kumpa jibu kabla ya ijumaa.
Timu itajifiaDuh aisee DPworld waichukue simba haraka
Kwa Moussa Balla Conte mlisema hivihivi.Hatubishani na tetesi FC...
Vipi hii nayo ni uzushi?Nenda Sasa kwa kamwe akakupe elfu 10 naskia ukitoa taarifa za kizushi kuilenga Simba unalipwa elfu 10.