Hatimaye Erick Shigongo Atajiunga na chuo mwaka huu

CCM WASHAMLIPA ZILE PESA ZA TiSHeT AMA WAMEMNYWESHA MAJI TU?

MASOMO MEMA



ENZI ZA JAMAA
 
Hahahahaaa! Ila jamaa hadi alilia "kisport"! Inawezekana yalikuwa machozi ya" furaha "!
wanaccm kwa unaa utawaweza basi?!!! itakuwa kalipwa ama alitekwa masaa kadhaa akapigwa mikwala na pushap za hapa na pale akatishiwa kufungiwa beshara ya udaku akaona 'BORA YESHEE'......... in mzee Yusuph voice😱😱😱😱😱😱
 
Ashapewa mpunga wake wa campagn?


Kunywa maji mwanangu.. [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Mimi nilijuaga jamaa ana shahada ya uzamivu, kumbe hana hata astashahada ya darasa la saba.
 
Duuh amefail mara ngapi?
Nahisi chuo watamdaka tena.

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
 
kwahiyo vile vitabu watu wamevisoma sana viliandikwa na mtu ambaye hana hata cheti cha darasa la saba? dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…