Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM WASHAMLIPA ZILE PESA ZA TiSHeT AMA WAMEMNYWESHA MAJI TU?Mjasiriamali na Mtunzi wa vitabu mashuhuri nchini Tanzania, Erick James Shigongo anatarajia kurudi shule na kusoma elimu ya shahada baada ya kuhangaika muda mrefu kutafuta nafasi hiyo, huku akisukumwa na masimango na matusi ya mitandaoni.
![]()
Eric Shigongo
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Erick Shigongo ameandika waraka mrefu akielezea safari yake kitaaluma na furaha aliyonayo, ya kuweza kufikia ndoto yake ya kuwa na elimu ya chuo kikuu, licha ya kuwa na mafanikio makubwa kwenye kazi zake za utunzi na maisha kiujumla.
“Ndoto imetimia, hatimaye naingia Chuo Kikuu, nikiwa mtoto nilitamani sana kusoma hadi chuo kikuu lakini sababu ya umasikini na mazingira magumu hasa shule nilizosoma, sikufaulu mtihani wa darasa la saba, nikarudia darasa la saba katika shule nyingine lakini bado sikufaulu, nilijiona mjinga! Nikajaribu kupitia njia ya ‘vikozi’ vidogo ili hatimaye niingie chuo kikuu lakini sikufanikiwa, nikaachana na ndoto hiyo na kuanza ujasiriamali”, ameandika Erick Shigongo.
Erick Shigongo alendelea kuandika akisema kuwa ndoto yake hiyo imefanikiwa baada ya kujiunga na mfumo wa RPL ambao hufanya watu wenye uzoefu fulani katika jamii bila kuwa na elimu, na kuwapa nafasi ya kusoma elimu ya juu, ndipo alifanikiwa kupata nafasi mwaka huu, baada ya kufeli mwaka jana.
“Nikakusanya vitabu vyangu ambavyo nimekwishaandika na kuvipeleke Tume ya Vyuo Vikuu na kuomba niruhusiwe kufanya mtihani huo, nikaruhusiwa, mwaka jana nikafanya na kufeli, sikukata tamaa, mwaka huu nikafanya tena na kufaulu, hivyo mwezi wa tisa ninaanza mwaka wa kwanza “, ameandika Erick Shigongo.
Chanzo: Bongo5
Hahahahaaa! Acha fujo mkuu. Alipewa maji "makavu" na mwana CCM mwenzie ili apooze machungu.CCM WASHAMLIPA ZILE PESA ZA TSHT AMA WAMEMNYWESHA MAJI TU? MASOMO MEMA View attachment 565473 ENZI ZA JAMAA
Hahahahaaa! Acha fujo mkuu. Alipewa maji "makavu" na mwana CCM mwenzie ili apooze machungu.
Hahahahaaa! Ila jamaa hadi alilia "kisport"! Inawezekana yalikuwa machozi ya" furaha "!View attachment 565499 View attachment 565499 View attachment 565499hahahahahahaha aa aaah watakuwa wamemalizana kiushkaji aisee
wanaccm kwa unaa utawaweza basi?!!! itakuwa kalipwa ama alitekwa masaa kadhaa akapigwa mikwala na pushap za hapa na pale akatishiwa kufungiwa beshara ya udaku akaona 'BORA YESHEE'......... in mzee Yusuph voice😱😱😱😱😱😱Hahahahaaa! Ila jamaa hadi alilia "kisport"! Inawezekana yalikuwa machozi ya" furaha "!
Mtu wa mapicha picha....Story teller....Leo atasema std 7 kesho utasikia Ana certificate ya nursing.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa mtunzi wa vitabu gani?
haa haa..Wewe jamaa ndo mtu wa kwanza kunichekesha toka asubuhi.Mtu wa mapicha picha....Story teller....Leo atasema std 7 kesho utasikia Ana certificate ya nursing.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilijuaga jamaa ana shahada ya uzamivu, kumbe hana hata astashahada ya darasa la saba.Mjasiriamali na Mtunzi wa vitabu mashuhuri nchini Tanzania, Erick James Shigongo anatarajia kurudi shule na kusoma elimu ya shahada baada ya kuhangaika muda mrefu kutafuta nafasi hiyo, huku akisukumwa na masimango na matusi ya mitandaoni.
![]()
Eric Shigongo
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Erick Shigongo ameandika waraka mrefu akielezea safari yake kitaaluma na furaha aliyonayo, ya kuweza kufikia ndoto yake ya kuwa na elimu ya chuo kikuu, licha ya kuwa na mafanikio makubwa kwenye kazi zake za utunzi na maisha kiujumla.
“Ndoto imetimia, hatimaye naingia Chuo Kikuu, nikiwa mtoto nilitamani sana kusoma hadi chuo kikuu lakini sababu ya umasikini na mazingira magumu hasa shule nilizosoma, sikufaulu mtihani wa darasa la saba, nikarudia darasa la saba katika shule nyingine lakini bado sikufaulu, nilijiona mjinga! Nikajaribu kupitia njia ya ‘vikozi’ vidogo ili hatimaye niingie chuo kikuu lakini sikufanikiwa, nikaachana na ndoto hiyo na kuanza ujasiriamali”, ameandika Erick Shigongo.
Erick Shigongo alendelea kuandika akisema kuwa ndoto yake hiyo imefanikiwa baada ya kujiunga na mfumo wa RPL ambao hufanya watu wenye uzoefu fulani katika jamii bila kuwa na elimu, na kuwapa nafasi ya kusoma elimu ya juu, ndipo alifanikiwa kupata nafasi mwaka huu, baada ya kufeli mwaka jana.
“Nikakusanya vitabu vyangu ambavyo nimekwishaandika na kuvipeleke Tume ya Vyuo Vikuu na kuomba niruhusiwe kufanya mtihani huo, nikaruhusiwa, mwaka jana nikafanya na kufeli, sikukata tamaa, mwaka huu nikafanya tena na kufaulu, hivyo mwezi wa tisa ninaanza mwaka wa kwanza “, ameandika Erick Shigongo.
Chanzo: Bongo5
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]haa haa..Wewe jamaa ndo mtu wa kwanza kunichekesha toka asubuhi.
Nadhani atasoma Chuo na kutunukiwa degree yake kama ya mzee wa Kiraracha LyatongaDuuh amefail mara ngapi?
Nahisi chuo watamdaka tena.
Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app