Mtoto wa Mkulima
JF-Expert Member
- Apr 12, 2007
- 681
- 134
Misaada/Mikopo kama hiyo nayo ina kasoro zake. Kwa mfano tutapewa mkopo/msaada wa $100 million ambao una masharti kwamba wataalam wa kusimamia mkopo/msaada huo watoke huko uliko toka mkopo/msaada na wanalipwa mishahara mikubwa kutoka katika mkopo/msaada huo huo na pia una masharti kwamba vifaa vya shughuli itakayofanyika lazima vikanunuliwe katika nchi hiyo hiyo pamoja na kwamba vinaweza kuwa ni ghali mno ukilinganisha na bei katika nchi nyingine. Matokeo yake 70 - 80% ya mkopo/msaada wa $100 milioni inarudi katika nchi mtoaji na kwa mantiki hiyo basi msaada/mkopo halisi ulikuwa ni $20 million tu! Kama ni mkopo tumeachiwa zigo la mkopo na riba kubwa tu.
Wakati mwingine hii mikopo/misaada pia inatumika kucreate kazi kwa wananchi wa nchi mtoaji na ndiyo maana hao MATX wengi huwa hawataki kurudi kwao wanapomaliza mikataba yao na wengine hutoa mchozi ili kubaki bongo au hutafuta jinsi labda kuoa ama kuolewa waendelee kuula. Maana mishahara wanayolipwa kupitia mikopo/misaada hiyi ni minono hata kwao hawapati pesa nzuri kiasi hicho.
Mkuu Mkandara narush kidogo nikirudi nitakujibu yote uliyouliza. Kwa hili la US sikusema kuwa wanakopa ODA. ODA hii ni official assiatance Aid. Na hii mikopo ni kwa nchi masikini na wenyewe wanaiita concessional loans but in reality they are not ni kama tool box ya kufix Developing economies. US wana credit reting nzuri na huwa wanakopa kwa kuishu dhamana za serikali kama Bonds na Bills kwa nchi nyingine na Japan is the major creditor kwa US. Na nakuambia US is the Dobtor number one in the world tembelea website ya IFS kwa zaidi.Naomba somo kidogo unaposema US nao huchukua mikopo hii ya ODA, na wakati upi samahani lakini!
Mkandala nakupa 5,
Wakati wa Marshall plan -strategically WB na IMF viluindwa kutoa mikopo- ambayo by 1960s (10-15 years) tayari matokeo yalishaonekana!
Sasa sisi ni miaka 40 au 50 misaada na mikopo lukuki- mbona hali inazidi kuwa ngumu?
Hili pakacha linavuja- huwezi kuwa na budget support na ufadhili (42%) this year wakati Mkaguzi Mkuu wa Serikali anasema over a trilion Shs (20% of total budget) zimepotea au zimetumika vibaya!
Hizi pesa vinaliwa tena kiulaini.
Je kuna haja gani ya hii mikopo/misaada?
Mimi siamini ktk hand outs!
Kama tunakopa pesa zijenge barabara na kweli barabara safi tuzione- au Hospitali.
Kama hizi pesa zinapotea HII MIKOPO na MISAADA KWA SASA KWANZA ISITISHWE ILI KIELEWEKE!
Umeeenda Mbezi Beach, Mikocheni, Kimara Mbezi N.k ukaona haya mahekalu ya kifahari yanayoporomoshwa na wafanyakazi wa serikali? Duu- ni balaa!!!!
Yet inabidi sisi au watoto wetu waje kulipa haya madeni.
Mimi ndo natofautiana na hii Dhana ya UMATONYA!
Jamani nataka kuuliza kitu kimoja!
Tukipiga marufuku import za mali ndogo ndogo na kuwashauri mashirika ya nje kama wanataka kuuza mali zao kwetu inabidi waje wajenge viwanda vyao ndani nchi kwetu itakuwaje?...
Naomba somo!...
Mtoto wa Mkulima,
1. Kwanza kuna Sector Support mfano Denmark wana Health Sector Programme Support (HSPS), or Agricultural Sector Pr. Support (ASPS) - hizi bado zinaendelea pia kwa sasa. Ila zina limitations- some are concentrated in some Regions- kwa hiyo serikali ikasema why not pull resources together in a common fund to support equally all areas? Ndo kukawa na 'Basket Fund'. Hizi pesa mf. Katika sector ya Afya hupewa Halmashauri zote kulingana na idadi ya watu kwa kila Wilaya.
2. Kuna nchi kama UK philosophy yao ya msaada wape serikali iliyochaguliwa na waninchi- ndiyo in mandate. Kwa hiyo wanatoa direct funding to the Treasurer (Budget Support)- E.g. Japan, EU, etc.
3. Joint Assistance Strategy (New Development)- Development partners coming together in a transparent way and agree priority funding areas, whether is Budgetary Support or Sector Support.
4. USA mara nyingi hapendi kushikiana na wengine- kwa hiyo yuko mwanyewe mara nyingi. May be kwa kuwa ana msuli mkubwa!
I hope others may chip in!
Ila ni maneno tu yanbaddilika kila kukicha Ufadhili ni ufadhili tu!