Hatimaye familia ya Mama Amina Mohamed Mughenyi yapokea hundi ya fidia shanta

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
HATIMAE FAMILIA YA MAMA AMINA MOHAMED MUGHENYI YAPOKEA HUNDI YA FIDIA SHANTA

Familia ya Mama amina mohamed mghenyi wa kitongoji cha taru kijiji cha Mang'onyi kata Mang'onyi jimbo la singida mashariki wamefikia muafa na ofisi ya Mkuu wa wilaya kwa kuridhia kupokea hundi ya fedha ikiwa ni fidia ya malipo ya eneo lao ambalo limechukulia na kampuni ya mgodi wa dhahabu ya Shanta kwa ajili ya upanuzi wa mgodi huo

Akizungumza mara baada ya kupokea hundi Bi. Amina Mohamed Mughenyi amesema ameridhishwa na mchakato w tathmini na kiwango alicholipwa mara baada ya kueleweshwa kwa kina na vielelezo na yeye kupata muda wa kushauriana na familia yake na hatimae kukubali kupokea hundi hiyo

Kwa upande wake Mkuu wa wilaya ya Ikungi Mhe. Jerry C. Muro ameshukuru kuona mazungumzo aliyoyasimamia kwa zaidi ya miezi kadhaa yamefikia mwisho kwa pande zote kuridhiana hatua ambayo amesisitiza imeongeza ushirikiano baina ya mwekezaji na wananchi wanaozunguka mgodi

Tazama picha za tukio👇🏾👇🏾

Imetolewa na ofisi ya mkuu wa wilaya Ikungi
20/09/2022
 
Attachments

  • IMG-20220920-WA0208(1).jpg
    IMG-20220920-WA0208(1).jpg
    75.8 KB · Views: 7
  • IMG-20220920-WA0209(1).jpg
    IMG-20220920-WA0209(1).jpg
    70.5 KB · Views: 9
  • IMG-20220920-WA0207(1).jpg
    IMG-20220920-WA0207(1).jpg
    80.9 KB · Views: 9
HAKI imetendeka ila Mama yetu Awe Makini na PANYA ROAD wa SINGIDA
 
HATIMAE FAMILIA YA MAMA AMINA MOHAMED MUGHENYI YAPOKEA HUNDI YA FIDIA SHANTA

Familia ya Mama amina mohamed mghenyi wa kitongoji cha taru kijiji cha Mang'onyi kata Mang'onyi jimbo la singida mashariki wamefikia muafa na ofisi ya Mkuu wa wilaya kwa kuridhia kupokea hundi ya fedha ikiwa ni fidia ya malipo ya eneo lao ambalo limechukulia na kampuni ya mgodi wa dhahabu ya Shanta kwa ajili ya upanuzi wa mgodi huo

Akizungumza mara baada ya kupokea hundi Bi. Amina Mohamed Mughenyi amesema ameridhishwa na mchakato w tathmini na kiwango alicholipwa mara baada ya kueleweshwa kwa kina na vielelezo na yeye kupata muda wa kushauriana na familia yake na hatimae kukubali kupokea hundi hiyo

Kwa upande wake Mkuu wa wilaya ya Ikungi Mhe. Jerry C. Muro ameshukuru kuona mazungumzo aliyoyasimamia kwa zaidi ya miezi kadhaa yamefikia mwisho kwa pande zote kuridhiana hatua ambayo amesisitiza imeongeza ushirikiano baina ya mwekezaji na wananchi wanaozunguka mgodi

Tazama picha za tukio👇🏾👇🏾

Imetolewa na ofisi ya mkuu wa wilaya Ikungi
20/09/2022
Angedai awe na hisa badala ya kulipwa na kuondolewa kwenye eneo, pesa itakwisha lakini eneo litaishi.
 
Jerry Muro Moja ya ma DC wachapa kazi na mbunifu. Ikungi wamebahatika
 
Tazama picha za tukio[emoji1484][emoji1484]

Imetolewa na ofisi ya mkuu wa wilaya Ikungi
20/09/2022
Ofisi ya mkuu wa Wilaya chini ya mti

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom