Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto amepelekwa kwa babake Gwajima?,au mumewe amekubali kulea?..
Unataka uolewe wewe?Simshauri kabisa Mbasha kurudiana na huyu mdada alimchafua vya kutosha.
Too late to Apologize,
alimsumbua Mbasha huyu mwanamke,
wakati anamsingizia kubaka hakujua kama
atahitaji waongeze mapacha...
Too late to Apologize,
alimsumbua Mbasha huyu mwanamke,
wakati anamsingizia kubaka hakujua kama
atahitaji waongeze mapacha...
Simshauri kabisa Mbasha kurudiana na huyu mdada alimchafua vya kutosha.
Sio vibaya wakirudiana ni jambo la kheri ila tuwe tunaweka akiba ya maneno jamani!
Hawa watu walivyochafuana wataonekana vituko tu mbele ya jamii.
Hayo wewe hayakuhusu. Mwanaume ukiwa mmbea ni hatari
...Mbasha keshamwambia asisikilize maneno ya watu,hop nae hatasikiliza maneno ya watu km ww na ameshamwambia arudi walee watoto wao wawili;siku zote wakigombana,chukua jembe ukalime,wakipatana................!
Hivi si alisema alitaka Ku m.f.i.r.a?
Mbasha acha usengerema kurudiana na huyo malaya
Hivi si alisema alitaka Ku m.f.i.r.a?
Maneno yetu si sheria
he can take/leave it.