Hatimaye Flora Mbasha ampigia Magoti Mumewe, amuomba amsamehe, ajutia Makosa

Haaa haaa Florah kapima kina cha maji kaona kirefu bila msaada wa mume mambo yataharibika.
 
Binadamu husahau mapema sana,au sijui wanajitoa fahamu,ivi umtese mumeo bila huruma unadhani hata huyo unaekua nae atakuchukuliaje kama ana akili timamu? ningekua huyo jamaa ningemsamehe lakini nisingerudi.........
 
Asimrudie aende zake mmoja ya wanaotia aibu sisi wanawake.
 
Too late to Apologize,

alimsumbua Mbasha huyu mwanamke,
wakati anamsingizia kubaka hakujua kama
atahitaji waongeze mapacha...

...Mbasha keshamwambia asisikilize maneno ya watu,hop nae hatasikiliza maneno ya watu km ww na ameshamwambia arudi walee watoto wao wawili;siku zote wakigombana,chukua jembe ukalime,wakipatana................!
 
Sio vibaya wakirudiana ni jambo la kheri ila tuwe tunaweka akiba ya maneno jamani!
Hawa watu walivyochafuana wataonekana vituko tu mbele ya jamii.

...very wonderful of you; waachwe wajenge maisha yao,kama waliyavuruga wote,watayasimamisha tena wote kwa pamoja...hakuna binadamu aliyemkamilifu.
Kama Mungu anasamehe, mwingine nani wakuwanyooshea kidole......
 
...Mbasha keshamwambia asisikilize maneno ya watu,hop nae hatasikiliza maneno ya watu km ww na ameshamwambia arudi walee watoto wao wawili;siku zote wakigombana,chukua jembe ukalime,wakipatana................!

Maneno yetu si sheria
he can take/leave it.
 
Mbasha acha usengerema kurudiana na huyo malaya

No ngoja, hv huyo mwenye red ndio alituhumiwa kuchepuka nae. .....kama ndivyo amsamehe alafu kama kweli hakumtandika basi amtandike sasa hiyo ndio fidia ya machungu
 
Huu ni ujinga atomb€₩€,atiliwe mimba mkewe,afungwe,adharirishwe na bado tu aendelee kuwa nae aache ungese Mbasha mwache akaolewe na msemaji wa Chadema taifa.
 
Flora utoto umeanza muisha, Emmamuel bado mtoto. tuwaache kwanza.
 
mi nnahofu na umri wa hawa yamkini bado ni foolz
 
Angeshindwa kesi angefungwa, akina Delila( mke wa Samson) bado wapo. Mbasha emanuel kimbia bila kugeuka nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…