KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Yes ndio huyu aiseeAnhaa huyu jamaa ndiye alipigaga ile ngoma ya kichagha chagha?
Hongera sana sagandaApataye mke apata kitu chema. Hatimaye msanii mkongwe mjini Fred Saganda Ntogwisango amepata mke.
Fred Sanganda ni msanii mwenye vipaji lukuki, ni mchekeshaji, mwimbaji, mpigaji wa ala za muziki, ni producer, ni sound engineer, ni mchora katuni, na pia ndiye twiga wa kwenye katuni za Ubongo Kids.
View attachment 2582032
View attachment 2582033
View attachment 2582034
Sawasawa!!!Yes ndio huyu aisee
Kweli usemayo jamaa kipaji anacho.Jamaa anakipaji kikubwa sana,kazi zake nyingi ni nzuri.
Napenda akiigiza ile sauti yake ya kichaga nzito flani hii,huwa inafanana sana na anko wangu anaitwa Mr.Mtenga.
Nilikuwa sifaham mkuu, kumbe ndo yule twiga wa kwenye ubongo kds mwenye lafundi ya kichaga, upweke unauma, upweke unauma.Apataye mke apata kitu chema. Hatimaye msanii mkongwe mjini Fred Saganda Ntogwisango amepata mke.
Fred Sanganda ni msanii mwenye vipaji lukuki, ni mchekeshaji, mwimbaji, mpigaji wa ala za muziki, ni producer, ni sound engineer, ni mchora katuni, na pia ndiye twiga wa kwenye katuni za Ubongo Kids.
View attachment 2582032
View attachment 2582033
View attachment 2582034
siowewe tu,hata leo hii mtu akisikia ile nyimbo anajua jamaa ni mangii.Kweli usemayo jamaa kipaji anacho.
Ile nyimbo yake ya kichagha mwanzo nilipoisikia nilikataa kama mwimbaji siyo Mchagha kuja kujua ubini wake wa kihaya nikashangaa sana.
Mbona majina ya kisukuma?siowewe tu,hata leo hii mtu akisikia ile nyimbo anajua jamaa ni mangii.
kizuri zaidi kwenye iyo nyimbo kahusisha kastory kafupi kuhusisha pombe,basi ndo kabisaa unajua huyu ni mchaga pure[emoji23][emoji28]
ushaisikia ile nyimbo yake tunayoizungumzia hapa?Mbona majina ya kisukuma?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960][emoji2960]Usikute kamuoa mke wake
SIku wakipigwa na stroke ndo watatafuta wake wa kuwatunza🤣🤣Gill Biz
Adili
Mapacha
Ibra Magazijuto
Mnaoa lini?