KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Apataye mke apata kitu chema. Hatimaye msanii mkongwe mjini Fred Saganda Ntogwisango amepata mke.
Fred Sanganda ni msanii mwenye vipaji lukuki, ni mchekeshaji, mwimbaji, mpigaji wa ala za muziki, ni producer, ni sound engineer, ni mchora katuni, na pia ndiye twiga wa kwenye katuni za Ubongo Kids.