Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Nakazia Nakazia NakaziaNdoa za sinema kama hizi kupata pancha mkiwa safarini ni jambo la kawaida ama tairi kuchomoka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakazia Nakazia NakaziaNdoa za sinema kama hizi kupata pancha mkiwa safarini ni jambo la kawaida ama tairi kuchomoka.
mleta uzi ndio huyo bwana, 😂 watu wazima sanaKaoa mzazi mwenzake... Chombo inaonekana kabisa used from gheto kwake kitambo
Ukiona hivyo ujue kiporo kimepewa uhalalisho hapoSawasawa!!!
Naona jamaa amechukuwa legendary mwenzake.
Upweke unaumaNilikuwa sifaham mkuu, kumbe ndo yule twiga wa kwenye ubongo kds mwenye lafundi ya kichaga, upweke unauma, upweke unauma.
Li tube light limepata pa kupumzikiaNdio ameanza kulala na mwanamke asiyevaa chupi mpaka asubuhi na umri huu?
Ni wimbo upi?ushaisikia ile nyimbo yake tunayoizungumzia hapa?