Mpambanaji sana. Ni vile upepo haujampitia.Mwamba mbishi sana
Namkubali mwanangu kisandu
Ova
Magazeti yalianza kufa kdg kdg wakati wa magu, kipindi hiki cha samuya ndio kayamalizia kabisa...mambo za kusifia sifia kwenye hamna wabongo wamegoma kudadek!.Mjiandae kufa njaa. Biashara ya magazeti kwa sasa hailipi.
Hatambuliki hukoCivilian Coin, aka mwl Deo Kisandu. Kahama moja
Mwamba ngoma ngumu sanaMpambanaji sana. Ni vile upepo haujampitia.
Huo ni ukurasa wa 13, anza na ukurasa wa 1, najua shida ni lugha lakini hata kusoma namba hauwezi!Different colors, The same toilet papers.
Umekosa Cha kuandika Tanzania nzima ndiyo uandike ya Iran na South Africa?
Kwa level yako, hauna credibility ya kunikosoa. Wewe ni mzee wa hovyo.Huo ni ukurasa wa 13, anza na ukurasa wa 1, najua shida ni lugha lakini hata kusoma namba hauwezi!
Juu umeandikwa ukurasa wa 13 kwa rangi nyekundu, bado huataki kuelekezwa!Kwa level yako, hauna credibility ya kunikosoa. Wewe ni mzee wa hovyo.