Hatimaye Gerald Hando aaga rasmi kambi ya Ukapela

Hatimaye Gerald Hando aaga rasmi kambi ya Ukapela

Wanawake wanamatatizo mengi sana na dunia ni nyepesi kuwaonea huruma binafsi hata anvemwacha malkia gani lakini akachagua yule anaeona atamfaa katika masha yake mmi nampa heko na pongezi nyingi kwa sababu kwanza ni maisha yake na pili yeye ndie anaejua mapungufu ya kitabia ya yule aliemwacha.

NB: Sura a maumbile ya wanawake yanadanganya sana macho lkn hawafai hata kwa kuwapa dawa ya tabia nzuri.
 
i
Ukiingia hapa JamiiForums unaweza ukahisi hakuna mahusiano mazuri ya kimapenzi. Wachache waliopatwa na majanga kwenye mahusiano wanataka kutuaminisha wote kuwa mahusiano ni kitu kibaya.

Wanaofurahia mahusiano yao wangesema waje huku kusifia pasingetosha humu ni vile wapo busy ku-Socialize na wapenzi wao.

Don't get twisted, love is a beautiful thing.
ndeed so lovely
 
Ulichoandika hapa ni sawa na kumkaribisha Mgeni chai isiyo na sukari alafu unamwambia 'sukari ipo tele kule jikoni lakini sijakuwekea' sasa sijui kama wewe ndio Mgeni hapo utamuuliza nini huyo Mwenyeji wako.

Kama wapo wengi wanaofurahia basi ngoja tuendelee kuwasubiri waje kutoa ushuhuda.
Mimi ni mmojawapo...ndoa tamu jamaniii nampenda mme wangu...
 
Back
Top Bottom